GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

TFF nendeni Mahakamani mkawashtaki hawa GSM na mkiweza ombeni Msaada kwa wale Wanasheria Nguli wa Simba SC waliowatoa Jasho Wanasheria wa hovyo hovyo wa Yanga SC na GSM huko CAS wakati wa Kesi ya Mchezaji Bernard Morrison ili wawasaidie mpate Haki yenu.

GSM wamekurupuka ile jana Kujitoa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya NBC kwani kuna maeneo kadhaa (tena ya Msingi kabisa) Wamekosea na Wamejichanganya wenyewe bila kujua hivyo baadhi ya Wanasheria Magwiji wamesema kama TFF ikiamua kwenda Mahakamani upo uwezekano GSM wakapigwa Faini zaidi ya Shilingi Bilioni 2 na Milioni 100 waliyoahidi kuiweka kama Mdhamini Mwenza.

TFF msikubali na msiwe Wanyonge Watanzania tuko nyuma yenu na tupo tayari kutoa Msaada wowote ule Kwenu (hasa wa Kiushauri na Kimawazo) ili muwashtaki GSM na mjipatie Mabilioni zaidi kutokana na Janja Janja yao ya Kibiashara ambayo waliianza tokea wakiwa Home Shopping Center (HSC)
 
Wewe ni mpumbavu ujui ata maana ya mkataba, yaani ulitaka gsm ndo akae na vilabu badala ya bodi ya ligi au tff, alafu unasema wamevunja mkataba, terms za huo mkataba unazijua? Unapoferi kutekeleza matakwa ya vipengele kwenye mkataba husika unakuwa umevunjika automaticaly, ayo maswali unayouliza kawaulize tff na sio gsm ayawahusu
Sasa kama hata tu kuyaandika maneno haya ya 'hata' na 'kufeli' kwa Kiswahili Fasaha hujui na Umeandika 'ata' na 'kuferi' unadhani kati yangu na Wewe nani si tu ni Mpumbavu bali pia ni Mwendawazimu?
 
Ila nyie makolo bhana, GSM katoa sababu kwanini anavunja mkataba, kuvunja mkataba ni vitu vya kawaida sana kwenye mambo ya business wala sio kitu cha kushangaa kama una uelewa.

Mfano mzuri kwani timu zinapovunja mkataba na wachezaji, timu zinakua hazina ela, au ni interest tu kwa yule mchezaji zinakua zimeisha.

Kinachowauma nyie ni uwepo wa GSM pale Yanga, uwepo wake umekuja ku m challenge kanjibai na timu yenu kwenye ligi ndio maana mnatema mapovu.

Halafu acha kuchafua brand za watu, kampuni ya kitapeli imekutapeli nini? Kama wamekutapeli si uende polisi ukawashtaki
Sindano yangu inazidi tu Kuwachomeni.
 
Sasa kama hata tu kuyaandika maneno haya ya 'hata' na 'kufeli' kwa Kiswahili Fasaha hujui na Umeandika 'ata' na 'kuferi' unadhani kati yangu na Wewe nani si tu ni Mpumbavu bali pia ni Mwendawazimu?
 
Mbeya City FC haya matatizo yote mmeyataka nyie kwa Kukataa kupokea Bahasha zao za Rushwa ambazo huwa wanazitoa kwa Vilabu vingi ili Washinde.

Na mlichoharibu zaidi ni Kuzikataa Pesa zao za Janja Janja ili wawafunge halafu mmetoa Siri hii hivyo imewauma na wameona wameshajulikana hivyo hakuna namna zaidi tu ya Kujitoa ili Kulinda Heshima ya Kampuni ya Janja Janja tokea ilipokuwa Home Shopping Center (HSC)

Na Mtibwa Sugar FC hawamuachi Mtu.
 
Sasa kama hata tu kuyaandika maneno haya ya 'hata' na 'kufeli' kwa Kiswahili Fasaha hujui na Umeandika 'ata' na 'kuferi' unadhani kati yangu na Wewe nani si tu ni Mpumbavu bali pia ni Mwendawazimu?
Nilisha kutaadharisha usiwe unarukiarukia vitu usivyovijua unaandika nyuzi mia kidogo kudanganya wajinga wajinga kama wewe na makolo wenzako wanaona uko sawa maana akili zenu wote zinafanana, wewe mbona uweki wazi mkataba wa ajira yako unalipwa shingapi kwa mwezi ata mkeo unaeishi nae ndani umemficha?

Leo hii unapata wapi nguvu ya kutaka kujua mikataba ya wengine? Masuala ya kimkataba ni mazito sio mambo ya kukurupukia tu na kuleta ushabiki wa simba na yanga hapa ficha ujinga wako
 
Kwa Mamlaka Niliyopewa Na JF Nakazia Mleta Mada Anatakiwa Ulinzi Pia GSM (Gharibu Said Mohamed) Mjibuni Taratibu
 
Akikaa nchale akisimama nchale
jamaa wale ni chupli chupli kabisa
 
Wewe ni mpumbavu ujui ata maana ya mkataba, yaani ulitaka gsm ndo akae na vilabu badala ya bodi ya ligi au tff, alafu unasema wamevunja mkataba, terms za huo mkataba unazijua?

Unapoferi kutekeleza matakwa ya vipengele kwenye mkataba husika unakuwa umevunjika automaticaly, ayo maswali unayouliza kawaulize tff na sio gsm ayawahusu
tuliza wenge
 
Boss wao anavyoiogopa chapa GSM sasa hofu imewashika makolo wote
 
1644298473197.png
 
Back
Top Bottom