GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi ihefu kwa kiwango gani ilichoonyesha cha kumzuia yanga hata kama kocha nabi angekabiziwa ingefungwa tu mkuuKama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka.
GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza akawabania msishinde mmeamua Kumfitini ili afukuzwe na Kocha Mkuu sasa awe Juma Mwambusi ambaye ni mwana Yanga SC Mwenzenu na Mwanachama ili mshinde Kiurahisi.
Yana mwisho haya shauri zenu!!
Ni yanga hii iliyo imwagilia simba 2 juzi juzi tu au unazungumzia yanga ipiKama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka.
GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza akawabania msishinde mmeamua Kumfitini ili afukuzwe na Kocha Mkuu sasa awe Juma Mwambusi ambaye ni mwana Yanga SC Mwenzenu na Mwanachama ili mshinde Kiurahisi.
Yana mwisho haya shauri zenu!!
Hivi wewe hii yanga ambayo haijafungwa kwa karibu miaka miwili,simba mmekua mkipigwa kama mmesimama kama ngoma mkiwa full mkoko,unategemea yanga aje amwogope ihefu timu inayoshika mkia?Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka.
GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza akawabania msishinde mmeamua Kumfitini ili afukuzwe na Kocha Mkuu sasa awe Juma Mwambusi ambaye ni mwana Yanga SC Mwenzenu na Mwanachama ili mshinde Kiurahisi.
Yana mwisho haya shauri zenu!!
Ona hili kolo nalo. Eti simba kaizidi Yanga. Kwahiyo simba kaizidi nini Yanga?Yanga mnatoa povu kubwa sana ,na mnajiona wakubwa sana baada ya kuifunga timu kubwa, Simba
Nataka niwakumbushe kuwa japo kuwa Simba imezifunga timu bingwa wa Caf msimu ulio pita yaani 20/21 na bingwa wa shirikisho msimu wa 21/22,lakini pamoja na kuzifunga timu hizi kubwa ,Simba haijawahi kujiona ni timu kubwa kuizizid lakini inajitahidi kupambana ili kukaribiana nazo ,japo imezidiwa kiuchumi na kimaendeleo.
Yanga toka iifunge Simba inajiona ni bonge la timu isiyo fungwa kirahisi,na hichi ndicho mashabiki wengi wa Yanga imewakaa kiakil.
Nataka kuwaambia wana yanga kuwa mpira hauko hivyo nyinyi kumfunga Zalan izo 5 na 4 zisiwafanye mjione mko juu sana kimpira nyinyi bado sana mko level ya chini sana .
Level alioko Simba mlie mfunga iko tofauti sana na nyie,mkitaka kuamini kuwa nyie niwakawaida angalieni jinsi mlivyo tumia nguvu nyingi kwenye mechi zidi ya Zalani.
Na ile siku ya mwananchi mlifungwa mbili bila na Vipers ya Uganda.
Lakini ukiwakuta yanga wanavyo isifia timu yao utadhani kanakwamba ndo timu bingwa wa mashindano ya Champion leage,embu jifunzeni kuwa na akiba ya maneno itafika kipindi upepo utabadilika na mambo yatakuwa magumu sana na apo ndo mtajua hamjui kitu.
Jamaa anajidharirisha sana humuNajitahidi nisichangie kwenye hizi mada zako za kipopoma, ila kuna wakati nashindwa kabisa kuvumilia huu upuuzi wako.
Ihefu Fc tangu ipande ligi kuu na kufanya usajili wa nguvu kupitia mwalimu wao Zubery Katwila, haijawahi kupata matokeo! Mechi zote nne walizocheza nyumbani na ugenini, walipoteza!!
Uongozi wa timu ya Ihefu ukaamua kumfukuza kocha, na kuajiri kocha mwingine ambaye ni Juma Mwambusi, kwa lengo la kurejesha matumaini ya timu kubakia ligi kuu!
Wewe unaleta porojo za kuihusisha Yanga na GSM, kana kwamba hiyo Ihefu Fc inamikiliwa na Yanga na GSM!! Ukiulizwa uweke ushahidi wa hizi porojo zako, huna!!
Aisee wewe ni zaidi ya janga!
Hii kwa leo ni thread kama ya 10 hivi inayoihusu Yanga na zote zimeanzishwa na makolo,kolo's washajikatia tamaaBaada ya kuishindwa yanga kimpira/soccer ...sasa hivi majungu ndio furaha yenu pekee iliyobaki kwa mashabiki wa simba ili kupoza roho zenu mbaya
Article kubwa halafu upupu mtupuYanga mnatoa povu kubwa sana ,na mnajiona wakubwa sana baada ya kuifunga timu kubwa, Simba
Nataka niwakumbushe kuwa japo kuwa Simba imezifunga timu bingwa wa Caf msimu ulio pita yaani 20/21 na bingwa wa shirikisho msimu wa 21/22,lakini pamoja na kuzifunga timu hizi kubwa ,Simba haijawahi kujiona ni timu kubwa kuizizid lakini inajitahidi kupambana ili kukaribiana nazo ,japo imezidiwa kiuchumi na kimaendeleo.
Yanga toka iifunge Simba inajiona ni bonge la timu isiyo fungwa kirahisi,na hichi ndicho mashabiki wengi wa Yanga imewakaa kiakil.
Nataka kuwaambia wana yanga kuwa mpira hauko hivyo nyinyi kumfunga Zalan izo 5 na 4 zisiwafanye mjione mko juu sana kimpira nyinyi bado sana mko level ya chini sana .
Level alioko Simba mlie mfunga iko tofauti sana na nyie,mkitaka kuamini kuwa nyie niwakawaida angalieni jinsi mlivyo tumia nguvu nyingi kwenye mechi zidi ya Zalani.
Na ile siku ya mwananchi mlifungwa mbili bila na Vipers ya Uganda.
Lakini ukiwakuta yanga wanavyo isifia timu yao utadhani kanakwamba ndo timu bingwa wa mashindano ya Champion leage,embu jifunzeni kuwa na akiba ya maneno itafika kipindi upepo utabadilika na mambo yatakuwa magumu sana na apo ndo mtajua hamjui kitu.
Siku 507 sawa na mechi 42 bila kufungwa na bado unataka timu ijione ni rahisi kufungwa.....namba hazidanganyiYanga toka iifunge Simba inajiona ni bonge la timu isiyo fungwa kirahisi,na hichi ndicho mashabiki wengi wa Yanga imewakaa kiakil.