Unavyo zungumzia ukubwa yanga kwa nini umuweke simba,Yanga ndo timu ilichokuwa kombe la ligi mara nyingi,yanga ndo timu iliyo mfunga simba mara nyingi,yanga ndo timu ambayo msimu ulopita kashinda mara nyingi.
Lete takwimu za matokea ya simba na yanga,kwani nyie si ndio mlisusia kuingia uwanjani mara mbili hadi kupelekea yanga kupewa alama 3 na magoli mawili.
Ngoja nikumbie sasa
Timu ya kwanza kucheza michuano iliyo andaliwa na CAF 1969
Timu ya kwanza kumpeleka mchezaji wao akacheze ulaya SUNDAY MANARA
Timu ya kwanza Tanzania kucheza robo fainali ya clab bingwa africa (CAF CHAMPIONS LEAGUE) 1998.
Nawasilisha.