GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Mpaka umeweza hadi Kunitaja hivi inaonyesha kuwa huwa Unanifuatilia sana hapa Jamiiforums. Kuhusu Mwezi Mchanga nadhani Wazazi wako Waliokuzaa ndiyo wana hilo ( hili ) tatizo na siyo Mimi sawa?Tate Mkuu wewe ni mgeni humu masjala?!!
Huyo mvulana/binti wakuitwa GENTAMYCINE ni mwezi mchanga wengi tunamtambua usiwe unapoteza time nae
Sijawazidi Waliokuzaa kwa huo Upumbavu.Kumbe hili ni LIPUMBAVU
Jamaa ni muongo mnoWewe unaleta porojo za kuihusisha Yanga na GSM, kana kwamba hiyo Ihefu Fc inamikiliwa na Yanga na GSM!! Ukiulizwa uweke ushahidi wa hizi porojo zako, huna!!
Sasa kama kocha wenu simba amekaa na hutujawahi lalamika leo amewekwa wa yanga kuna ubaya? Alafu ihefu kweli sisi GSM wakampige fitna kwa lipi? Hizo fitna kwann tusipeleke hata polis au mbeya city ambao mara zote match huwa ngumu?Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka.
GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza akawabania msishinde mmeamua Kumfitini ili afukuzwe na Kocha Mkuu sasa awe Juma Mwambusi ambaye ni mwana Yanga SC Mwenzenu na Mwanachama ili mshinde Kiurahisi.
Yana mwisho haya shauri zenu!!
PrinceAz pitia hapaUnavyo zungumzia ukubwa yanga kwa nini umuweke simba,Yanga ndo timu ilichokuwa kombe la ligi mara nyingi,yanga ndo timu iliyo mfunga simba mara nyingi,yanga ndo timu ambayo msimu ulopita kashinda mara nyingi.
Lete takwimu za matokea ya simba na yanga,kwani nyie si ndio mlisusia kuingia uwanjani mara mbili hadi kupelekea yanga kupewa alama 3 na magoli mawili.
Ngoja nikumbie sasa
Timu ya kwanza kucheza michuano iliyo andaliwa na CAF 1969
Timu ya kwanza kumpeleka mchezaji wao akacheze ulaya SUNDAY MANARA
Timu ya kwanza Tanzania kucheza robo fainali ya clab bingwa africa (CAF CHAMPIONS LEAGUE) 1998.
Nawasilisha.
Sio muongo tu ni MWe..huJamaa ni muongo mno