Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Hiyo sio sheria mkuu ila ni kanuni, na kanuni huwa zinabadilika muda wowoteUdhamini unatolewa kwa kufuata taratibu wewe wawapi..? Sio kwamba mambo yakiwekwa hadharani kuwa watu watakataa kinachosemwa umekielewa au ndio.ile kudandia gari usilojua linaenda wapi.? Mkataba umesainiwa na tff badala ya bodi ya ligi. Sheria haijasema mdhamini mwenza akae kwenye jezi za timu. Inakaa logo ya mzamini mkuu au unakichwa cha panzi