GSM umekuja kuwaliza Yanga na sio kuwainua. Time will tell

Status
Not open for further replies.
Tatizo Simba hataki ligi yenye ushindani,anavyotaka yeye ligi iwe na timu zenye njaa awapige mpunga na kushinda mechi zake ana hofu timu zikiwa na hela zitasumbua ligi hatimaye yeye kukosa ubingwa. Wewe ukiona GSM kaweka bil 2.1 wewe Metl/Mo weka Bil 10 huo ndiyo uwanaume ukiona GSM wamedhamini na wewe dhamini tena kwa kuweka mpunga mrefu.Huo ndiyo ushindani wa uwekezaji kwenye soka tatizo Hindi janja sana tapeli tapeli inapenda maslahi yake binafsi sana hata wafanyakazi kwenye kampuni zake wanalia maslahi duni sana wanafanyia njaa tu hawana jinsi ila Hindi bahili sana.Katika msingi huo Yanga na Simba wakigombania mchezaji kwa mpunga bilashaka Yanga atashinda kwani mdhamini wake siyo bahili hivyo Simba wajiandae kupata tabu kwa Yanga katika misimu yote ya udhamini wa GSM na sasa naanza kuamini dirisha dogo lijalo Chama atakwenda Yanga majibu yapo wazi na wachezaji wengi wa Simba watashituka na kukimbilia Yanga kwenye hela kumbuka mpira ni ajira kama mtu analipa vizuri na kujali wachezaji wake ni wazi atapendwa na kukimbiliwa na wengi.Muda utasema
 
Utopox timu ya mazuzu... hawana watu wa mpira ndo maana kila siku wanachukua watu wa simba kina Manara na Mbatha
 
S
Usiwasingizie simba ww hawajakataa mdhamini ila.kanuni na taratibu zifuatwe
 
Tayari Simba wamepeleka mijichozi yao tume ya ushindani. Nyamaza katoto kazuri, usilie ntakupa pipi
 
Kwanza unatakiwa uelewe kuwa TFF ndo walimfata GSM kuomba udhamini.

Nembo ya GSM kuwa katika jezi za timu zinazoshiriki ligi huenda ni miongoni mwa 'term' iliyopo katika mkataba ambapo pande zote mbili wali agree.

Kitendo cha kusema kua GSM 'analazimisha' ni kuwakosea TFF ambao nao pia walikuwepo wakati wa ku-negotiate contract.
 
Mkataba ni makubaliano baina ya pande mbili.

What if KCB na TFF hawakubaliani kua nembo ya KCB kua katika jezi za timu ambazo zinazoshiriki ligi?
 

Eti TFF waliwafuata GSM,nani hajui uhuni wa GSM tangu enzi za HSM, Home Discount na sasa GSM? We all know,lengo la GSM ni kutaka kujitangaza kupitia Simba kwa mgongo wa TFF baada ya kuona kile alikitarajia kupitia Yanga hakipati. Msimamo wa Simba hatuvai nembo ya GSM na tuone TFF watafanya nini, Simba ndiyo inabeba taswira ya mpira wa Tanzania barani Africa,kama TFF wana jeuri basi waishushe daraja kama kweli wanajiamini vinginevyo hiyo pesa kama walishakula wataitapika.
 
Una uhakika gani kwamba Tff ndo wakimfuata GSM, anyway kwanza GSM ni kit supplier wa yanga na vunjabei ni kit supplier wa Simba inawezekana vipi hawa kukaa kwenye jezi moja, Yani puma na Nike ikae pamoja does t make sense ??.
 
Ndio ana lazimisha why wa force mkataba usainiwe haraka haraka km sio mambo yakina cheief mangungo
 
Una uhakika gani kwamba Tff ndo wakimfuata GSM, anyway kwanza GSM ni kit supplier wa yanga na vunjabei ni kit supplier wa Simba inawezekana vipi hawa kukaa kwenye jezi moja, Yani puma na Nike ikae pamoja does t make sense ??.
Eti Puma na Nike!

Ujinga mtupu kwa kudanganywa na wachambuzi 0 brain alafu na wewe unabeba bila kutafakari.
 
Akili za msituni hizo.Wewe ujiulizi kwa nini uongozi wa Simba ulienda kuomba kwenye bodi ya ligi mechi isogezwe mbele lakini wakakataliwa? Tafakari wewe usijitoe ufahamu
Maneno ya kishambenga mnasimuliana huku mnakuna nazi. Jumamosi tunakipiga na tunawamanua fresh tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…