Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ishu kubwa sio kuvaa nembo, hiyo hata mimi naona ni kawaida tu, ikitokea GSM akaidhamini Simba wala isikatae kuvaa nembo. Ishu kubwa ni mgongano wa maslahi, yaani kudhamini timu chache halafu hapo hapo kudhamini ligi yenye inashindanisha timu hizo ulizozidhamini na nyingine usizozidhaminiMimi ni simba Ila ni fresh tu hata kama tukivaa jezi yenye nembo ya GSM