Hahari ya djshaban mbona hadi Harris alipost wako nae kongo wakapiga na picha jamaa amevaa jez ya yanga wakaonesha na mkataba uchwara haris anaulizwa mbona uliachia zile picha mapema akasema alifanya vile coz kuna team zilikua zinamtaka ila kiukweli dili la djumashaban limeota mbawa ibenge kashapita nae coz anajua GSM hua hawanunui wachazaji Bali wanaenda kubembeleza wapewe kwa mkopo
Unaweza kuonesha hiyo picha kutokea akaunti ya Hersi?!
Yaani seriously Hersi aseme ali-post mapema kwa sababu kuna timu ilikuwa inamataka?! Sasa kama alishampa mkataba alihofia nini timu nyingine?
Au ndo kama ulivyosema eti mkataba uchwara?! Yaani mtu asafiri kutoka Dar hadi Kinshasa kwenda kusainisha mkataba uchwara?
Au ndo unataka kuaminisha ulikuwa mkataba uchwara ili kuzifanya timu zingine ziachane na Djuma kwa kuona amesajiriwa?!
Kama ndivyo, hivi professional kama Djuma anaweza kusaini mkataba fake wenye nia ya kumzibia fursa kutoka kwa timu zingine?
Anyway, picha unayoisema wewe haikuwa posted na Hersi bali ilikuwa posted kupitia Insta Account:
djumashabani_officiel
It's hard to tell kama ni real Djuma's account kwa sababu licha ya kwamba haipo verified, lakini haijakuwa followed na watu kutoka soccer industry ukimuacha Mukoko na Dauda... hii si kawaida!!
Djuma nilim-follow kitambo kwenye Twitter... ukiangalia kule, sio mtu wa ku-post post!! Pale Insta, account inayoendana na tabia hii ya Djuma ni: @djuma7590, na uzuri wa hii imekuwa followed hadi na Faustino Mukandila ambae ndie agent wake!!
Kwenye hiyo akaunti, hakuna hiyo picha!!!
Ninachojaribu kuwaeleza hapa ni kwamba, ingawaje hakuna shaka yoyote kuhusu Yanga kumtaka Djuma Shabani lakini habari zote mnazotumia hapa kama reference ni tetesi na habari zisizo rasmi!!! Na ndo maana, baada ya kusambaa hizo picha, Habari Leo kama wengine waliandika hiyo habari, lakini kwavile picha haikutoka kwenye akaunti rasmi, Habari Leo wakampigia Bumbuli ambae alijibu:-
Siwezi kuzungumzia usajili huo kwasababu sijapata taarifa, zingekuwa rasmi ungeona kwenye mtandao wa klabu
Isitoshe ni kichekesho kusema eti Djuma haonekani Yanga kwa sababu hajamaliziwa $20K!! Hivi Yanga ni wa kushindwa kulipa 20K?! Like serious?!
Endeleeni tu kulishana matango pori kwamba Djuma haonekani kwa sababu hajalipwa $20K wakati hata picha za Khalidi Aucho hamkuwahi kuziona hadi alipotangazwa rasmi na klabu!!
Na hata huyo Djuma hamtamuona huko hadi atakapotangazwa rasmi!!
Kwamba eti:-
GSM hua hawanunui wachazaji Bali wanaenda kubembeleza wapewe kwa mkopo
Itoshe tu kusema kwamba, anzisha na wewe timu yako uwe unaenda DRC kuchukua wachezaji wa bure!!!