GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

Hizo timu hazijapewa hata mia na hao GSM wako. Na ile cheki walipiga nayo picha Kwa mbwembwe, kumbe hewa. Waende tu wezi hawa. Shida Yao ilikuwa ni Simba kuvaa logo Yao, sio ligi.
 
Gharib kajiuzulu stars,focus kubwa sasa inakuja kwa Yanga,binafsi naombea GSM ijitoe kudhamini namungo na coastal ili wadili na Yanga tu
Kabla hajaenda kwenye ligi, Coastal Union na Namungo, alianza na Yanga na akawa nayo kwa miaka kadhaa. Unadhani kwa nini aliamua kwenda huko badala ya kuweka hiyo unayoiita 'focus kwa Yanga'? Jibu ni kwamba alikaa na Yanga miaka kadhaa (kwa kuifocus) lakini hakuona impact yoyote, akaamua kujitanua huku akitafuta namna ya kuiingiza Simba. Sasa vilabu 15 kati ya 16 vilikubali na kutekeleza masharti yote, lakini ambaye angeleta impact ni huyo mmoja asiyekuwepo kwenye udhamini. Kwa ufupi Simba ndiyo content ya habari nchini na barani Africa, na hivyo ni fursa ya matangazo ya biashara!

 
Sidhani kwa mwaka huu peke yake kati GSM na metl ni ipi ambayo imetajwa au kuandikwa mara nyingi,GSM ilipofikia wala ahitaji simba kama mnavyojiaminisha,mimi kama mdau mkubwa wa Yanga sikufurahishwa udhamini wa GSM kwenye ligi na bado sifurahishwi udhamini wake kwa namungo na coastal nachohitaji pesa yote ailete Yanga na kukujulisha Yanga sasa inaanza mpira fitna,tofauti ya NBC main sponsor na mdhamini mwenza GSM ni mln 300

 
 


Upeo wa kufikiri ndipo ulipofikia wala sikulaumu,mo aliejaza matangazo kwenye jezi lenu anadai anapata hasara then GSM mwenye kidoti tu begani ndio aje kunufaika while aliejaza makolo kolo anapata hasara!siamini eti NBC kadhamini ligi kwa target ya kuipata simba,nyie jamaa wamebrain wash kizembe sana!
 
Mimi nazungumzia GSM, sio Mo. Aliyejitoa ni GSM, sio Mo
 
Hizo timu hazijapewa hata mia na hao GSM wako. Na ile cheki walipiga nayo picha Kwa mbwembwe, kumbe hewa. Waende tu wezi hawa. Shida Yao ilikuwa ni Simba kuvaa logo Yao, sio ligi.
Alafu wanakwambia makubaliano hayajakamilika wakati mkataba ulishasainiwa na check ikatoka kweli Hawa ni matapeli waliotukuka.
 
Ni sahihi kabisa kwa GSM kujitoa

Tegemeo lake kubwa ilikuwa ni SIMBA SC imtangazie biashara yake nje ya nchi hivyo kitendo cha SIMBA kumgomea kuweka matangazo yake ni kama anapoteza pesa zake.
 
Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…