Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Wewe mbwa kasoro matako,hizo timu ndogo mpaka sasa zimepatiwa shiling ngapi na huyo GSM?Huna akili mbwa wewe team ndogo ndio zinaumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mbwa kasoro matako,hizo timu ndogo mpaka sasa zimepatiwa shiling ngapi na huyo GSM?Huna akili mbwa wewe team ndogo ndio zinaumia.
Hawajatoa hata Mia. Vilabu vilikuwa vinacheza Kwa kukopwa! Kweli hawa ni matapeli. Yaani kumbe ili cheki ilikuwa zuga tu.Amerudishiwa hela yake? Au imekwenda na maji?
Hizo timu hazijapewa hata mia na hao GSM wako. Na ile cheki walipiga nayo picha Kwa mbwembwe, kumbe hewa. Waende tu wezi hawa. Shida Yao ilikuwa ni Simba kuvaa logo Yao, sio ligi.Mwamedi ana roho mbaya Sana imejaa uhindi mwingi sana.
Huu udhamini anadhani anaikomoa yanga kumbe anazikomoa team ndogo zinajiendesha zenyewe tu,
Hata alikiba na kile kinywaji alichokuwa partner mudi alienda kuharibu na kumchomea utambi..
Soka la bongo ni kichefuchefu sana
We kaa hivyo hivyo, usijisogeze.
jsm chupli chupli na mashabiki wa uto hamna akiliWe kaa hivyo hivyo, usijisogeze.
Kabla hajaenda kwenye ligi, Coastal Union na Namungo, alianza na Yanga na akawa nayo kwa miaka kadhaa. Unadhani kwa nini aliamua kwenda huko badala ya kuweka hiyo unayoiita 'focus kwa Yanga'? Jibu ni kwamba alikaa na Yanga miaka kadhaa (kwa kuifocus) lakini hakuona impact yoyote, akaamua kujitanua huku akitafuta namna ya kuiingiza Simba. Sasa vilabu 15 kati ya 16 vilikubali na kutekeleza masharti yote, lakini ambaye angeleta impact ni huyo mmoja asiyekuwepo kwenye udhamini. Kwa ufupi Simba ndiyo content ya habari nchini na barani Africa, na hivyo ni fursa ya matangazo ya biashara!Gharib kajiuzulu stars,focus kubwa sasa inakuja kwa Yanga,binafsi naombea GSM ijitoe kudhamini namungo na coastal ili wadili na Yanga tu
Ilishawahi kuhojiwa huko nyuma na bado vipengele havikuonyeshwa. Labda pia ni part ya mkataba wao.Sahihi
.
Sasa kwanini tusingehoji kuainishwa kwa hivyo vipengele na kujuzwa vimeshindikanaje kabla ya kutaka kuhusianisha na Simba na Yanga?
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kwa mwaka huu peke yake kati GSM na metl ni ipi ambayo imetajwa au kuandikwa mara nyingi,GSM ilipofikia wala ahitaji simba kama mnavyojiaminisha,mimi kama mdau mkubwa wa Yanga sikufurahishwa udhamini wa GSM kwenye ligi na bado sifurahishwi udhamini wake kwa namungo na coastal nachohitaji pesa yote ailete Yanga na kukujulisha Yanga sasa inaanza mpira fitna,tofauti ya NBC main sponsor na mdhamini mwenza GSM ni mln 300Kabla hajaenda kwenye ligi, Coastal Union na Namungo, alianza na Yanga na akawa nayo kwa miaka kadhaa. Unadhani kwa nini aliamua kwenda huko badala ya kuweka hiyo unayoiita 'focus kwa Yanga'? Jibu ni kwamba alikaa na Yanga miaka kadhaa (kwa kuifocus) lakini hakuona impact yoyote, akaamua kujitanua huku akitafuta namna ya kuiingiza Simba. Sasa vilabu 15 kati ya 16 vilikubali na kutekeleza masharti yote, lakini ambaye angeleta impact ni huyo mmoja asiyekuwepo kwenye udhamini. Kwa ufupi Simba ndiyo content ya habari nchini na barani Africa, na hivyo ni fursa ya matangazo ya biashara!
View attachment 2112200
Sidhani kwa mwaka huu peke yake kati GSM na metl ni ipi ambayo imetajwa au kuandikwa mara nyingi,GSM ilipofikia wala ahitaji simba kama mnavyojiaminisha,mimi kama mdau mkubwa wa Yanga sikufurahishwa udhamini wa GSM kwenye ligi na bado sifurahishwi udhamini wake kwa namungo na coastal nachohitaji pesa yote ailete Yanga na kukujulisha Yanga sasa inaanza mpira fitna,tofauti ya NBC main sponsor na mdhamini mwenza GSM ni mln 300
Upeo wa kufikiri ndipo ulipofikia wala sikulaumu,mo aliejaza matangazo kwenye jezi lenu anadai anapata hasara then GSM mwenye kidoti tu begani ndio aje kunufaika while aliejaza makolo kolo anapata hasara!siamini eti NBC kadhamini ligi kwa target ya kuipata simba,nyie jamaa wamebrain wash kizembe sana!
Kwa hiyo uyo jamaa ni dog asie na kalio tobaaahWewe mbwa kasoro matako,hizo timu ndogo mpaka sasa zimepatiwa shiling ngapi na huyo GSM?
Alafu wanakwambia makubaliano hayajakamilika wakati mkataba ulishasainiwa na check ikatoka kweli Hawa ni matapeli waliotukuka.Hizo timu hazijapewa hata mia na hao GSM wako. Na ile cheki walipiga nayo picha Kwa mbwembwe, kumbe hewa. Waende tu wezi hawa. Shida Yao ilikuwa ni Simba kuvaa logo Yao, sio ligi.
Mimi nazungumzia GSM, sio Mo. Aliyejitoa ni GSM, sio Mo
Sio video ya Yanga, ni video ya GSMGSM kajitoa tff umeleta video ya Yanga ndio nikakutumia na hiyo ya makolokocho
Ni sahihi kabisa kwa GSM kujitoaKampuni Ya GSM, Leo Tarehe 07/02/2022 imetangaza kujiondoa Kwenye Udhamini Mwenza Wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Ikimbukwe kuwa Kampuni Ya GSM iliingia Makubaliano Ya Kuidhamini Ligi Kuu Tanzania Bara Na Kuweka Dau la Bilioni 2.5.
Lakini Udhamini Huo Ulipingwa Vikali na Simba Sc huku Vilabu vingine 16 vyote vya Ligii kuu Tanzania Bara Vikiridhia Udhamini Huo, Lakini Kwa Sasa GSM wamejiondoa Na Si wadhamini Tena.
Leo Kampuni Ya GSM imeeleza Ya Sababu Ya Kujitoa kuwa ni Kwasababu, TFF na Bodi La Ligi Kushindwa Kutimiza Matwaka ya Kimkataba.
Bado Haijaelezwa Wazi Matakwa Hayo ya Kimkataba ni Yapi Ambayo TFF na Bodi Ya Ligi Hawajatimiza hadi kupelekea Mkataba kuvunjwa. Lakini moja Ya Matakwa ya Kimkataba ilikuwa ni Vilabu Vyote kuvaa Nembo ya Mdhamini Upande Mmoja Wa Bega katika Jezi na Simba Sc Ndio Club Pekee iliyokuwa haijafanya Hayo.
Takwa jingine ilikuwa ni Mabango ya Mdhamini mwenza kuwepo Uwanjani lakini Simba Sc Ilipinga vikali na kutokuweka mabango hayo katika Mechi Zake.
Kwenu Studio
Sio video ya Yanga, ni video ya GSM
Ujinga mtupuSABABU ZA JIESIEM KUONDOLEWA KWENYE UDHAMINI WA LIGI KUU TANZANIA.
1. CAF.
Shirikisho la soka Afrika limeiandikia barua TFF kuwaonya kwa kushiriki uhuni kwenye mpira wa miguu. Hii inatokana na namna mwenendo wenyewe wa ligi unavyoenda, yaani timu yenye ushindani na Yanga inafanyiwa figisu nyingi sana nje ya uwanja.
Na baada ya JIESIEM hawa kujitoa tayari Yanga imeanza kusuasua kwani jiesiem anakosa nguvu ya moja kwa moja kwa timu ndogo. Ama niweke wazi ni kuwa katika 2.5B,JIESIEM walibakia na 500M ili kuzipa ruzuku timu ndogo pale zinapokutana na Simba.
2. 500M zinaelekea kuisha na ndio kwanza round ya 2 bado
Hapa nampa kongole sana jiesiem kwani ameng'amua mapema kuwa akiendelea kutoa zile 10M ili simba ifungwe au Yanga ishinde basi atafilisika, hivyo amebaki ma change ya 17.8M