Guardiola ameiumbua E.P.L

Tumpe muda na misimu mingi zaidi ili tuone ubora wake kama utadumu au itakuwa wa mpito, mambo hubadilika, wapi Claudio Ranieri? Conte je? Morinho? Mambo hubadilika
 
Sema na mwaka jana CHELSEA ALIONGOZA KUANZIA KIPINDI GANI NA JE ALISHUKA AU NDO ALIKAA MAZIMA acha urogi
 
Mtu aliyeichukua timu ikiwa imeshika nafasi ya nne kwenye ligi na kwenda kuanza nayo kwenye hatua ya mchujo uefa mpaka anakuja kuchukua treble yaani from trophyless to treble unasema hamna alichofanya na siyo treble alifika mbali zaidi mpaka sixtupe (makombe sita kwa msimu mmoja) wakati madrid imewachukua miaka 105 kuja kuchukua makombe matano kwa msimu
Mtu aliyewatimua mastar wote wa timu wakati anaichukua gaucho, deco na etoo alinusurika baada ya kukosa timu ila naye msimu uliofatia akaondoka akaform partnership ya xavi,iniesta na messi huoni alichofanya?
Mpeni heshima yake Pep
 
Ahsante mkuu
 
ligi bora na yenye ushindani barani ulaya

Naona imekua one horse race? ni zaidi ya ligi yoyote barani ulaya kwa kua ligi ya mshindani mmoja tu.
Twambieni nini kimesibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…