inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
anapatikana siku ya mwisho kwa kuwa wale jamaa wawili kila mmoja kila mechi anashindaUnasema hivyo wakati huko La liga karibia kila msimu bingwa anapatikana siku ya mwisho.
E.P.L ingekuww inatokea hivyo tungesema ama kweli ligi ngumu ila kwa vile ni la liga tunachukulia poa tuu
Guardiola amekuja England kwa wakati sahihi kwake.
Conte ni mbahatishaji, kuna muda nashindwa kumtofautisha na Mourinho.
!
Ameanza ligi anashinda vigoli viwili mara droo... jana kapiga mtu 4 unasema analegea?mbona city kishaanza kulegea..mpira alioanza nao sio anaocheza sasa..na EPL huwa ligi kipindi hiki hadi march..ile top six na timu zingne tatu zitamtia tu pancha
Pep ameshajipigia huyo Mourinho na ferguson vichapo vya aibu..Kabla hujaanza kumsifia Pep msifu Mourhinyo alivyokuja 2004/2005 akatwaa ubingwa moja kwa moja misumu miwli mfululizo mbele ya makocha bora duniani Sir Alex na Arsene Wenger
kisha Uje umsifie Conte alietwaa ubingwa mbele ya makocha hao hao kama Pep na wengine
halafu ndio uje umsifie Pep
msimu upiEtii eeh kwani anayeongoza La liga na anayefuatia wamepishana pointi ngapi?
Na E.P.L je?
Swansea!?..nani hajamfunga swanseaAmeanza ligi anashinda vigoli viwili mara droo... jana kapiga mtu 4 unasema analegea?
Nadhani wewe ndo unapaswa kufunga bakuli. Pep kawapika kina Iniesta, Xavi na wenzao??? Kweli???Mkuu huhui soka bora unyamaze. Hao wachezaji wa Bosque team ya spain walipikwa kwenye club ya vijana ya barcelona na huko ndiko ilikokuwa kazi ya pep..Jamaa ni kocha mzuri na hakuna pingamizi kwa hilo. Man city huoni ilishapotea kuna mchezaji gani pale wa kusema ni wa bei kubwa. Man city inawachezaji wa kawaida kabisa ila anagalia soka. Sote tunashuhudia
Mkuu watu wengine humu wanajisemea tuUkisema hutambi mara 2... unasahau Man untd ile ya kina Cr7 ilishachukua ubingwa mara 3 mfululizo
Hao wanafunga wasiojuaHuijui epl...hao kina sam siyo wabeba kombe hao ni wapigaji na watampiga...kwa mfano mourinho amepigwa mara ngapi na Alan Pardew,au hujui?...fuatilia na nnakuhakikishia atapigwa muda wowote na timu yeyote......!period
Chai tena ya motooo..!!WASIOMKUBALI PEP NI WACHAWI, FERGUSON ALISTAAFU KUMKIMBIA PEP
Pep ni wa kukimbiwa... ??Chai tena ya motooo..!!