Guardiola ameiumbua E.P.L

Guardiola ameiumbua E.P.L

Unasema hivyo wakati huko La liga karibia kila msimu bingwa anapatikana siku ya mwisho.

E.P.L ingekuww inatokea hivyo tungesema ama kweli ligi ngumu ila kwa vile ni la liga tunachukulia poa tuu
anapatikana siku ya mwisho kwa kuwa wale jamaa wawili kila mmoja kila mechi anashinda
 
Kabla hujaanza kumsifia Pep msifu Mourhinyo alivyokuja 2004/2005 akatwaa ubingwa moja kwa moja misumu miwli mfululizo mbele ya makocha bora duniani Sir Alex na Arsene Wenger

kisha Uje umsifie Conte alietwaa ubingwa mbele ya makocha hao hao kama Pep na wengine

halafu ndio uje umsifie Pep
 
Guardiola amekuja England kwa wakati sahihi kwake.

Amekuja na kukuta makocha wenye kumpa upinzani ni wachache sana.

Mourinho anapaki basi.

Wenger nyakati zake zimempita, alipaswa kustaafu siku nyingi.

Conte ni mbahatishaji, kuna muda nashindwa kumtofautisha na Mourinho.

Klopp hana consistency, anaweza akashinda leo 7-0 afu wikend akatoa suluhu ya 0-0.

Atleast, Pochetinno ambaye anafundisha mpira mzuri ila tatizo yupo kwenye average team yenye kikosi kidogo sio kipana.

So Guardiola lazma atambe, lakini raundi ya pili bado na ndio huwa ngumu mno.

Tukutane may wakati bingwa atakapotangazwa!
 
Mkuu kwa pesa iliotumika acha tu timu ifanye vizuri
 
Kuna msimu wa pili anything can happen , hiyo man city kwangu mm bado kufikia level za akina bayern, barcelona, madrid au juve ambao wakikuacha by that margin wapinzani wasahau ubingwa wa ligi na bado mashindano mengine wana kichafua vilevile.
 
Kabla hujaanza kumsifia Pep msifu Mourhinyo alivyokuja 2004/2005 akatwaa ubingwa moja kwa moja misumu miwli mfululizo mbele ya makocha bora duniani Sir Alex na Arsene Wenger

kisha Uje umsifie Conte alietwaa ubingwa mbele ya makocha hao hao kama Pep na wengine

halafu ndio uje umsifie Pep
Pep ameshajipigia huyo Mourinho na ferguson vichapo vya aibu..

MOU amewahi kula 5 na vichapo vingine vingi, huyo ferguson kapigwa fainali 2 za Uefa, ikiwemo ya 2011 aliyoishia kutetemeka ..

Hakuna jipya... huyo wenger ndio hata usiseme, kapigwa mno na Guardiola...
 
Mkuu huhui soka bora unyamaze. Hao wachezaji wa Bosque team ya spain walipikwa kwenye club ya vijana ya barcelona na huko ndiko ilikokuwa kazi ya pep..Jamaa ni kocha mzuri na hakuna pingamizi kwa hilo. Man city huoni ilishapotea kuna mchezaji gani pale wa kusema ni wa bei kubwa. Man city inawachezaji wa kawaida kabisa ila anagalia soka. Sote tunashuhudia
Nadhani wewe ndo unapaswa kufunga bakuli. Pep kawapika kina Iniesta, Xavi na wenzao??? Kweli???
 
Huijui epl...hao kina sam siyo wabeba kombe hao ni wapigaji na watampiga...kwa mfano mourinho amepigwa mara ngapi na Alan Pardew,au hujui?...fuatilia na nnakuhakikishia atapigwa muda wowote na timu yeyote......!period
Hao wanafunga wasiojua
 
Pep akichuka UEFA na timu nyingine nitamkubali. Bayern aliyokuwa ilikua Bora kuliko hii city ila UEFA alisanda

Ukweli ni kwamba wakati yupo Barca players walimbeba na kumfanya aonekane Bora na wachezaji wengi walikua kwenye peak zao and not the other way around.

Hii city ni nzuri ila sio Bora na next season timu zikija vizuri atagongwa Kama kawaida.

Kubeba UEFA tena asahau sio kwa hii city au timu yeyote ile atayoenda.
 
Nahamia man city kwa muda...mpaka wenger atakapo fukuzwa.
 
Ni kweli bado tupo round ya kwanza na mshindi hajapatikana chochote kinaweza tokea kwa man city au timu zingine....usitegemee man city pekee kuyumba next round fikiria pia timu zingine kukumbwa na hali hiyo pia.Unaweza kuta next game man city ana draw au kuvungwa vilevile wenzake wakapata matokeo sawa au viceversa.
 
Back
Top Bottom