Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

wenziio wanapinga michepuko we ndo unapalilia
 
Likitokea tetemeko la Ardhi mnakimbia na kujitia kumuomba Mungu....kumbe nyinyi wenyewe ndio mnaozikarisha laana...Yani nyinyi mnapiga kampeni watu wachukuliane wake zao/waume zao......Ni vyema endeleeni
 
laiti akili zingekuwa transparent tukawa tunaona wanayofikiria watu.......!
 
Hiii thread wapenda michepuko utawajuaa
 
Naona Matangazo ya uhalifu bora nimbeep Kova
 
Imasco ipo mkuu wameiboresha sana, na jamaa mbunifu sana naona anawateja wengi sana hasa jumamosi pia kuna ukumbi wa sherehe na harusi.
Body without head
Hizo Harusi si watatufuma?
mm naona Bondeni G/House Magomeni Mapipa Bondeni ya zamani si hii ghorofa
 

Wewe ------- kabisa, sasa ushatoa siri zote maana yake nini? Wadau hizo sehemu tajwa sio salama tena kwasisi wezi wa wake za watu, jamaa kazianika zite hewani sasa wenye wake zao wayakuwa wakipita kuchungulia maeneo hayo au wataweka mashushushu, kaharibu kabisa kiwanja changu conway hotel, itabidi nihamie kiwanja kingine magomeni kagera nyuma ya oilcom, sikitaji jina kwaajili ya usalama
 

Hahaha hahahaha!
 
Hahahaha kuna moja ipo kule kinyerezi barabara mpya mkono wa kulia nikijaga dar huwa naendaga, sema kwenye vyumba vyao hamna network...

Ipi hyo?! Ile nyeupe yny geti jeusi au?! Ukipiga honi mlango unafunguka automatic?!
 
Sometimes shetani a nashangaa binaadamu wanavyofanya madhambi na ku plann madhambi kumshinda yeye. Mungu wasamehe waja wako hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…