Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Amen...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Lol.
sasa mmezitangaza hapa.c tutagongana na waume zetu au itakua ngoma dro
Naona Matangazo ya uhalifu bora nimbeep KovaJe wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;
1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.
Hizo Harusi si watatufuma?Imasco ipo mkuu wameiboresha sana, na jamaa mbunifu sana naona anawateja wengi sana hasa jumamosi pia kuna ukumbi wa sherehe na harusi.
Body without head
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;
1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.
Wewe ------- kabisa, sasa ushatoa siri zote maana yake nini? Wadau hizo sehemu tajwa sio salama tena kwasisi wezi wa wake za watu, jamaa kazianika zite hewani sasa wenye wake zao wayakuwa wakipita kuchungulia maeneo hayo au wataweka mashushushu, kaharibu kabisa kiwanja changu conway hotel, itabidi nihamie kiwanja kingine magomeni kagera nyuma ya oilcom, sikitaji jina kwaajili ya usalama
Hahahaha kuna moja ipo kule kinyerezi barabara mpya mkono wa kulia nikijaga dar huwa naendaga, sema kwenye vyumba vyao hamna network...