Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Kwahiyo wote wanaochangia humu ni wezi wa wake/waume za watu? Wenye wake/waume zao wanaowatilia shaka si wataanza kuzifuatilia hizo sehemu sasa.

Balaa, kina sisi ambao kina babe wamehack ID zetu za JF inabidi tupige kimya tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
forest mitaa ya kimara pale pazuri sana kujilia kakitu!
 
Kwa wale wa Arusha tujuzeni. wengine tupo kikazi huku baridi mateso. Tunajua Impala, Kibo Mt Meru Hotels tu. Wapi machimbo?
 
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;

1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.




Mwanaume haibiwi....Mwanaume akiwa na mwingine anadumisha mila ya Muafrica (Mwati)...Anaonekana dume la ukweee
 
Dah inaelekea we ni mzoefu wa kuiba ktk hizi hotel
 
Ahahahahhhh, wezi utawajua tu lol....

unaingia room imeandikwa CAPE TOWN , chumba kikubwa kama sebule bafu nalo kubwa kama chumba cha kupanga sinza ttz feni na kitanda vinapiga kelele kama vimetumwa na majirani , mapazia ya mwaka 2000 daah
 
Conway pale barabarani sana.....

Vinna hotel-mabibo papo poa
Mdawi lodge-Kigambon
Fan lodge-Iringa
Girrafe hotel-Mbeya
Blue bay-Zanzibar

Duh we mzoefu had za mikoani unazijua......!!! iyo fan lodge iringa ipo maeneo gani.........?
 
Mmmh! jamani wandugu achene ngono hiyo hivi unaibaje mke/mume wa mwenzio? unafaidi nini sasa hapo?
 
NYONGEZA: Kuna hii PATAYA INN ya Mikocheni ipo poa sana FULL USALAMA, maji ya moto, geti kubwa wahudumu WASIRI
 
Back
Top Bottom