Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Ila pamekaa ki hatari ukifumaniwa kusepa kwake kugumu, wangekuwa na tu emergency doors kule nyuma ya uwanja wa mchanga uki escape safely unapitia na kadi ya ccm kabisa pale tawini.
hahahaaaaah kama haina emergency door hiyo haifai.
 
Kiboko ni Imasco Temeke mpaka gari inaingia ndani garage ukipaki unaibukia direct chumbani, mkitaka hamuonekani wote hata kwa mhudumu, pesa unapenyesha chini ya mlango, ukitaka kinywaji ndiyo mmoja wenu ataonekana kwa mhudumu mmoja tu.

Body without head
Imasko ipandishwe hadhi kuwa Hoteli ya kimataifa
 
Back
Top Bottom