Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Kuna guest iko pande za tegeta ,dah ile ni nouma,ukiingia room tu unakuta picha za watoto wakal kibao,halaf unachagua,utakayempenda unaitiwa fasta,pesa yako tu,yaan full kujiachia,jina la guest silitaj mtajazan bure,maana ni secret service

mwaga hapa bana
 
Conway pale barabarani sana.....

Vinna hotel-mabibo papo poa
Mdawi lodge-Kigambon
Fan lodge-Iringa
Girrafe hotel-Mbeya
Blue bay-Zanzibar
Kwa jinsi ulivyotaja maeneo mtambuka, utakuwa ushaibwa sana weye...
 
Kuna guest iko pande za tegeta ,dah ile ni nouma,ukiingia room tu unakuta picha za watoto wakal kibao,halaf unachagua,utakayempenda unaitiwa fasta,pesa yako tu,yaan full kujiachia,jina la guest silitaj mtajazan bure,maana ni secret service

Mpaka nikupe nin uridhike jamani????leo utajua ni kwanini mende hua anavaa mkoti bila kufunga na kifungo
 
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;

1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.

Kwa hiyo unahamasisha wake na waume za watu wazini siku za sikukuu maana unawaonyesha na chimbo za kujificha............kaaaazi kweli kweli!
 
Shem wako anapenda tubadilishege mazingira.....
Kwenda zako huko.... We toka kwa Lulenge, hadi Mbeya, na ukatia timu Zanzibar....!!!! Huyo si shemu halali, huyo wa kuzunguka kwote huko atakuwa wa nje wako tu.
 
Kwa hiyo unahamasisha wake na waume za watu wazini siku za sikukuu maana unawaonyesha na chimbo za kujificha............kaaaazi kweli kweli!
Kumuhamasisha mke/mume wa mtu siyo rahisi... Hao wanajuwa wenyewe... Kuwahamasisha hao ni sawa na kumfundisha samaki kuogelea
 
Kwenda zako huko.... We toka kwa Lulenge, hadi Mbeya, na ukatia timu Zanzibar....!!!! Huyo si shemu halali, huyo wa kuzunguka kwote huko atakuwa wa nje wako tu.

Ukiwa unatembea huwa unafumba macho???zingine tunazisoma tu njian mkuu......!!!
Sio mpango wa nje bwana shem wako ni auditor so akiwa anasafir kikaz nami mara moja moja anaenda kuniAudit!!!
 
Ukiwa unatembea huwa unafumba macho???zingine tunazisoma tu njian mkuu......!!!
Sio mpango wa nje bwana shem wako ni auditor so akiwa anasafir kikaz nami mara moja moja anaenda kuniAudit!!!
Ngumu kumesa... Yaani shemu akaku-audit-ie sisimko guest house... Hapana, tena safari za kikazi wanakaaga Kempiski ya mahali husika... Hawa wa mahangaiko guest house si wa halali.
 
Ngumu kumesa... Yaani shemu akaku-audit-ie sisimko guest house... Hapana, tena safari za kikazi wanakaaga Kempiski ya mahali husika... Hawa wa mahangaiko guest house si wa halali.

Sisimko siendagi mkuu.....ila hzo nilizokutajia zipo poa tu!!!!
 
Back
Top Bottom