Gueteres aliponda baraza la usalama la umoja wa mataifa. Aliambia limeshindwa kazi na limepitwa na wakati.Kigezo ni kushindwa kuzuia vita vya Gaza n,k

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake.

Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa kutekeleza majukumu mazito ya baraza hilo.

Katika matamsi yake hayo amekasirishwa sana na jinsi ambavyo vita kwenye maeneo ya wapalestina huko Gaza,Sudan na Ukraine vimekuwa vikiendelea bila ukomo.

---
United Nations Secretary-General Antonio Guterres says the Security Council is an “outdated,” “unfair” and “ineffective system” whose failure to put an end to Israel’s war on Gaza has damaged the credibility of the organisation as a whole.

Speaking to Al Jazeera Arabic in an exclusive interview, the UN chief decried the failures of the council, which was established in the aftermath of World War II to ensure international peace and security but whose permanent members’ veto power has consistently proven to be an obstacle to that goal.

The council, Guterres said, “doesn’t correspond to the world of today”.

“The truth is that the Security Council has systematically failed in relation to the capacity to put an end to the most dramatic conflicts that we face today: Sudan, Gaza, Ukraine.”
‘A severe handicap’

Guterres, a former prime minister of Portugal who has helmed the UN since 2017, stressed that the organisation’s other bodies and particularly its humanitarian agencies have continued to deliver essential services to Palestinians throughout Israel’s more than 11-month assault on Gaza. But he noted that the council’s political failure to bring an end to the conflict has hurt the UN’s other bodies.

“The UN is not the Security Council,” Guterres said. But he acknowledged that UN staff in the field — and particularly those from the UN Relief and Works Agency for Palestine Refugees (UNRWA) in Gaza — “suffer from the fact that the people look at them and think, ‘Well, but the Security Council has failed us.’”

The latest news from around the world. Timely. Accurate. Fair.

“For us, this failure of the Security Council is a severe handicap for our work in the field,” he added.

‘UNRWA remains the backbone’

Guterres nodded to the 200 UNRWA staff killed by Israeli forces in Gaza since the beginning of the war and pointed to a recent survey showing recognition for the agency’s efforts among the Palestinians it is reaching. He also expressed relief that after the agency came under attack early this year when Israel accused members of its staff of links to “terrorism“, leading several countries to withhold funding, the agency’s credibility appeared to have been restored.

“Many countries that in the beginning hesitated and suspended the support to UNRWA have come back, helping UNRWA deliver,” he said. “UNRWA remains the backbone of humanitarian support to the people of Gaza.”

Still, he condemned the constant challenges Israel continues to pose to that work.

“When conditions are made for them to work, like in relation to polio, they immediately are very effective,” Guterres said. “If the same conditions would be given to our support in relation to all other aspects of humanitarian action, if we hadn’t had the obstacles, the harassment, the problems, the difficulties that Israel has been systematically creating to the acts of UN humanitarian agencies, in particular to UNRWA, we’ll be able to do much more. And the people do need much more.”
‘No accountability’

In the interview, Guterres also blamed the world’s “major powers” for fostering the culture of impunity on display in Gaza.

Even as he expressed confidence in the work of the International Court of Justice and International Criminal Court, Guterres said, “We live in an environment of total impunity.”

“Everybody does what everybody wants,” he added. “The geopolitical divide that exists among the major powers has created a situation in which any country or any movement anywhere in the world feels that they can do whatever they want because there will be no punishment, there will be no accountability.”

He also said the United States should put more pressure on Israel to end its assault on Gaza.

“It’s important to put pressure on the United States in order to make sure that the United States puts pressure on Israel — as they are supporting Israel — put pressure on Israel to stop the war and at the same time to recognise that the two-state solution must not be undermined.”

“We have been asking the United States to be much more strong in relation to Israel,” he added.
‘The occupation is not legal’

Guterres also discussed the ongoing expansion of Israeli settlements and outposts in the occupied West Bank, which are illegal under international law.

“We must absolutely reject any prospective annexation of the West Bank,” he said. “The West Bank, together with Gaza and East Jerusalem, which is part of the West Bank, must be the state of Palestine in the future.”

“One of the most concerning things we have at the present moment is to see the systematic policy of many in the Israeli government that try to undermine the two-state solution, exactly by evictions, settlements, grabbing land and other actions in the West Bank, which are, of course, totally against international law,” he added.

“There is an opinion of the International Court of Justice. The opinion is clear: This is an occupation, and the occupation is not legal.”

UN head slams Security Council for failure to end Gaza, Sudan, Ukraine wars

Hilo baraza lilikuwa wapi Oct 7 wakati wa uvamizi dhidi ya Israel?
Kama umemsoma vizuri Guteres lilikuwa halitekelezi kazi zake vizuri tangu kuundwa kwake.Ndio maana Israel ikawa kila siku inaiba maeneo ya wapalestina na kuuwa watu mpaka wapalestina wakaamua wachukue sheria mikononi mwao ili huenda wakaeleweka.
Umeelewa Kigogo
 
Ukijichukulia sheria mkononi, pia uwe na uwezo wa kuhimili kipigo utakachorejeshewa,

Kubali chanzo cha yote ni Hamas kuivamia Israel, majibu yake ndio kama unavyona, vifo na uharibifu mkubwa,
 
Hata uharibifu uwe namna gani hao jamaa ndio watakaibuka washindi.Israel itanyong'onyea kila siku zinavyosogea.Hadhithi ya 1967 haiwezi kujirudia
 
Kwani hoja ni uchokozi wa Hamas au utendaji kazi wa baraza la usalama la umoja wa mataifa!?
 
Kwani hiyo barua, ilitolewa kabla ya vita au baada ya vita,

Mm naangalia chanzo cha vita na madhara makubwa yaliyotokea, hivyo ukianzisha vita hakikisha unajimudu, vinginevyo utawatesa wasiohusika
 
Hata uharibifu uwe namna gani hao jamaa ndio watakaibuka washindi.Israel itanyong'onyea kila siku zinavyosogea.Hadhithi ya 1967 haiwezi kujirudia
Uwe na huduma kwa wamama na watoto wa Kipalestina,
Hamas wanaishi kwenye mashimo washinde vita na Israel yenye nuclear bombs, unajifurahisha sio,
 
Sio kujifurahisha.Huo ndio uhakika wenyewe.
Kumbuka Afghanistan kwa Marekani ilikuw na kila kitu na hatimae wakawaachia wenyewe silaha wataleban tena wakiwa na hofu tele.
Habari za wataleban mpaka leo wamarekani wameifanya ni nukta ya kampeni za uchaguzi.Kila mmoja anaona mwenzake ndiye aliyechangia aibu ile.
Nyuklia za Israel usishangae hazitawasaidia chochote kile pindi Allah akitaka kuwaonesha nguvu zake.
 
Ukijichukulia sheria mkononi, pia uwe na uwezo wa kuhimili kipigo utakachorejeshewa,
Screenshot_20240719-215649.png
 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake.

Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa kutekeleza majukumu mazito ya baraza hilo.

Katika matamsi yake hayo amekasirishwa sana na jinsi ambavyo vita kwenye maeneo ya wapalestina huko Gaza,Sudan na Ukraine vimekuwa vikiendelea bila ukomo.

---
United Nations Secretary-General Antonio Guterres says the Security Council is an “outdated,” “unfair” and “ineffective system” whose failure to put an end to Israel’s war on Gaza has damaged the credibility of the organisation as a whole.

Speaking to Al Jazeera Arabic in an exclusive interview, the UN chief decried the failures of the council, which was established in the aftermath of World War II to ensure international peace and security but whose permanent members’ veto power has consistently proven to be an obstacle to that goal.

The council, Guterres said, “doesn’t correspond to the world of today”.

“The truth is that the Security Council has systematically failed in relation to the capacity to put an end to the most dramatic conflicts that we face today: Sudan, Gaza, Ukraine.”
‘A severe handicap’

Guterres, a former prime minister of Portugal who has helmed the UN since 2017, stressed that the organisation’s other bodies and particularly its humanitarian agencies have continued to deliver essential services to Palestinians throughout Israel’s more than 11-month assault on Gaza. But he noted that the council’s political failure to bring an end to the conflict has hurt the UN’s other bodies.

“The UN is not the Security Council,” Guterres said. But he acknowledged that UN staff in the field — and particularly those from the UN Relief and Works Agency for Palestine Refugees (UNRWA) in Gaza — “suffer from the fact that the people look at them and think, ‘Well, but the Security Council has failed us.’”

The latest news from around the world. Timely. Accurate. Fair.

“For us, this failure of the Security Council is a severe handicap for our work in the field,” he added.

‘UNRWA remains the backbone’

Guterres nodded to the 200 UNRWA staff killed by Israeli forces in Gaza since the beginning of the war and pointed to a recent survey showing recognition for the agency’s efforts among the Palestinians it is reaching. He also expressed relief that after the agency came under attack early this year when Israel accused members of its staff of links to “terrorism“, leading several countries to withhold funding, the agency’s credibility appeared to have been restored.

“Many countries that in the beginning hesitated and suspended the support to UNRWA have come back, helping UNRWA deliver,” he said. “UNRWA remains the backbone of humanitarian support to the people of Gaza.”

Still, he condemned the constant challenges Israel continues to pose to that work.

“When conditions are made for them to work, like in relation to polio, they immediately are very effective,” Guterres said. “If the same conditions would be given to our support in relation to all other aspects of humanitarian action, if we hadn’t had the obstacles, the harassment, the problems, the difficulties that Israel has been systematically creating to the acts of UN humanitarian agencies, in particular to UNRWA, we’ll be able to do much more. And the people do need much more.”
‘No accountability’

In the interview, Guterres also blamed the world’s “major powers” for fostering the culture of impunity on display in Gaza.

Even as he expressed confidence in the work of the International Court of Justice and International Criminal Court, Guterres said, “We live in an environment of total impunity.”

“Everybody does what everybody wants,” he added. “The geopolitical divide that exists among the major powers has created a situation in which any country or any movement anywhere in the world feels that they can do whatever they want because there will be no punishment, there will be no accountability.”

He also said the United States should put more pressure on Israel to end its assault on Gaza.

“It’s important to put pressure on the United States in order to make sure that the United States puts pressure on Israel — as they are supporting Israel — put pressure on Israel to stop the war and at the same time to recognise that the two-state solution must not be undermined.”

“We have been asking the United States to be much more strong in relation to Israel,” he added.
‘The occupation is not legal’

Guterres also discussed the ongoing expansion of Israeli settlements and outposts in the occupied West Bank, which are illegal under international law.

“We must absolutely reject any prospective annexation of the West Bank,” he said. “The West Bank, together with Gaza and East Jerusalem, which is part of the West Bank, must be the state of Palestine in the future.”

“One of the most concerning things we have at the present moment is to see the systematic policy of many in the Israeli government that try to undermine the two-state solution, exactly by evictions, settlements, grabbing land and other actions in the West Bank, which are, of course, totally against international law,” he added.

“There is an opinion of the International Court of Justice. The opinion is clear: This is an occupation, and the occupation is not legal.”

UN head slams Security Council for failure to end Gaza, Sudan, Ukraine wars

Wakati hamas wameivamia israel october 7 wakaua, wakabaka, wakalawiti, wakachoma moto watoto na wakateka wayahudi huyo Guterres alikuwa wapi kuongea upupu wake anaonyesha kama mtetezi wa hamas huyo
 
Kama umemsoma vizuri Guteres lilikuwa halitekelezi kazi zake vizuri tangu kuundwa kwake.Ndio maana Israel ikawa kila siku inaiba maeneo ya wapalestina na kuuwa watu mpaka wapalestina wakaamua wachukue sheria mikononi mwao ili huenda wakaeleweka.
Umeelewa Kigogo
Kama hamas walichukua sheria mkononi nae israel kaamua kuchukua ili kujilinda sasa mnamlilia nani?
 
Kama umemsoma vizuri Guteres lilikuwa halitekelezi kazi zake vizuri tangu kuundwa kwake.Ndio maana Israel ikawa kila siku inaiba maeneo ya wapalestina na kuuwa watu mpaka wapalestina wakaamua wachukue sheria mikononi mwao ili huenda wakaeleweka.
Umeelewa Kigogo
Sasa Israel imeamua kujilinda na ndio maana inatembeza kipigo kote mashariki ya kati kwa maadui zake.
Kuanzia Gaza, West Bank, Syria, Lebanon, Iran nk.
Hakuna aliye salama
 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake.

Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa kutekeleza majukumu mazito ya baraza hilo.

Katika matamsi yake hayo amekasirishwa sana na jinsi ambavyo vita kwenye maeneo ya wapalestina huko Gaza,Sudan na Ukraine vimekuwa vikiendelea bila ukomo.

---
United Nations Secretary-General Antonio Guterres says the Security Council is an “outdated,” “unfair” and “ineffective system” whose failure to put an end to Israel’s war on Gaza has damaged the credibility of the organisation as a whole.

Speaking to Al Jazeera Arabic in an exclusive interview, the UN chief decried the failures of the council, which was established in the aftermath of World War II to ensure international peace and security but whose permanent members’ veto power has consistently proven to be an obstacle to that goal.

The council, Guterres said, “doesn’t correspond to the world of today”.

“The truth is that the Security Council has systematically failed in relation to the capacity to put an end to the most dramatic conflicts that we face today: Sudan, Gaza, Ukraine.”
‘A severe handicap’

Guterres, a former prime minister of Portugal who has helmed the UN since 2017, stressed that the organisation’s other bodies and particularly its humanitarian agencies have continued to deliver essential services to Palestinians throughout Israel’s more than 11-month assault on Gaza. But he noted that the council’s political failure to bring an end to the conflict has hurt the UN’s other bodies.

“The UN is not the Security Council,” Guterres said. But he acknowledged that UN staff in the field — and particularly those from the UN Relief and Works Agency for Palestine Refugees (UNRWA) in Gaza — “suffer from the fact that the people look at them and think, ‘Well, but the Security Council has failed us.’”

The latest news from around the world. Timely. Accurate. Fair.

“For us, this failure of the Security Council is a severe handicap for our work in the field,” he added.

‘UNRWA remains the backbone’

Guterres nodded to the 200 UNRWA staff killed by Israeli forces in Gaza since the beginning of the war and pointed to a recent survey showing recognition for the agency’s efforts among the Palestinians it is reaching. He also expressed relief that after the agency came under attack early this year when Israel accused members of its staff of links to “terrorism“, leading several countries to withhold funding, the agency’s credibility appeared to have been restored.

“Many countries that in the beginning hesitated and suspended the support to UNRWA have come back, helping UNRWA deliver,” he said. “UNRWA remains the backbone of humanitarian support to the people of Gaza.”

Still, he condemned the constant challenges Israel continues to pose to that work.

“When conditions are made for them to work, like in relation to polio, they immediately are very effective,” Guterres said. “If the same conditions would be given to our support in relation to all other aspects of humanitarian action, if we hadn’t had the obstacles, the harassment, the problems, the difficulties that Israel has been systematically creating to the acts of UN humanitarian agencies, in particular to UNRWA, we’ll be able to do much more. And the people do need much more.”
‘No accountability’

In the interview, Guterres also blamed the world’s “major powers” for fostering the culture of impunity on display in Gaza.

Even as he expressed confidence in the work of the International Court of Justice and International Criminal Court, Guterres said, “We live in an environment of total impunity.”

“Everybody does what everybody wants,” he added. “The geopolitical divide that exists among the major powers has created a situation in which any country or any movement anywhere in the world feels that they can do whatever they want because there will be no punishment, there will be no accountability.”

He also said the United States should put more pressure on Israel to end its assault on Gaza.

“It’s important to put pressure on the United States in order to make sure that the United States puts pressure on Israel — as they are supporting Israel — put pressure on Israel to stop the war and at the same time to recognise that the two-state solution must not be undermined.”

“We have been asking the United States to be much more strong in relation to Israel,” he added.
‘The occupation is not legal’

Guterres also discussed the ongoing expansion of Israeli settlements and outposts in the occupied West Bank, which are illegal under international law.

“We must absolutely reject any prospective annexation of the West Bank,” he said. “The West Bank, together with Gaza and East Jerusalem, which is part of the West Bank, must be the state of Palestine in the future.”

“One of the most concerning things we have at the present moment is to see the systematic policy of many in the Israeli government that try to undermine the two-state solution, exactly by evictions, settlements, grabbing land and other actions in the West Bank, which are, of course, totally against international law,” he added.

“There is an opinion of the International Court of Justice. The opinion is clear: This is an occupation, and the occupation is not legal.”

UN head slams Security Council for failure to end Gaza, Sudan, Ukraine wars

Ni mapumbavu sana huyo jamaa watazuiaje vita ya gaza wakati hamas wenyewe ndo walitaka hiyo vita wakajiandaa kikamilifu. Mwisho wa siku wakavamia Israel tarehe 7/10. Waachwe wapigane wasichoke watashinda Allah wao atawasaidia
 
Back
Top Bottom