Gueteres aliponda baraza la usalama la umoja wa mataifa. Aliambia limeshindwa kazi na limepitwa na wakati.Kigezo ni kushindwa kuzuia vita vya Gaza n,k

Allah yupi wa kuwasaidia Hamas?
 
Hivi Waislamu mmeshindwa ungana kuimaliza Israel ambayo mnaizunguka?
 
They are going to evict him soon
 
Wakati hamas wameivamia israel october 7 wakaua, wakabaka, wakalawiti, wakachoma moto watoto na wakateka wayahudi huyo Guterres alikuwa wapi kuongea upupu wake anaonyesha kama mtetezi wa hamas huyo
Mbona Unajifyatua bolt za akili yako? Chanzo cha tatizo la Hamas kuvamia Israel October 7 nin? Mbona hawakwenda kuvamia Misri au Lebanon?
 
Kwani hiyo barua, ilitolewa kabla ya vita au baada ya vita,

Mm naangalia chanzo cha vita na madhara makubwa yaliyotokea, hivyo ukianzisha vita hakikisha unajimudu, vinginevyo utawatesa wasiohusika
Je hiyo habari umeisoma yote?
Kama hujasoma, isome vizuri utaona imetaja vita Sudan, Gaza, na Ukrein.
Kuna wasiwasi na uwezo wako wa kusoma na kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…