Kuna watu ambao washazidi wanawake 1000 kitambo 🤣
Mimi kuna jamaa yangu Mkurya mmoja hivi anavaa vizuri,smart sana kwa nje ni mtu msafi sana, mnyenyekevu,mstaaarabu mno. Halafu ni mpole sana. Ila sisi wadau wake tunamjua kuwa ni zoazoa balaa. Kila aina ya msichana (standard ya juu na kati) anakula na anajua kuwaomba wanawake K, moja kwa moja, hana mambo ya nakupenda wala blahblah, ananyoosha maelezo anataka K. Halafu ni mkurya og tarime anasema alitahiriwa porini bila ganzi, huko jandoni kunamafunzo maalum ambayo anajua anavyofanya mpaka mwanamke anakubali ndani ya muda mchache
Aisee yule jamaa kwa wiki anakula mabinti wawili mpaka 3. Ninamfahamu zaidi ya miaka 10+, geto ana mabox ya condom yamejaa. Na hiyo ndio michezo yake na bado hajaoa mpaka leo. Anasema wanawake wengine wanajileta wenyewe.
Mimi nahisi kuna dawa za kikurya anatumia kuwavutia wanawake. 🤣🤣