Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono.

1730715768262.png

Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi mashuhuri, mke wa kaka yake, binamu na dada wa Rais wa Equatorial Guinea, ambao walikuwa na mahusiano ya kingono bila kutumia kinga.

Mwanasheria Mkuu amesema mfanyabiashara huyo atafanyiwa vipimo ili kubaini kama ana magonjwa ya zinaa.

=========

The serving Director General of the National Financial Investigation Agency (ANIF) of Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, has been caught in one of the country’s largest sex scandals.

Baltasar was caught on tape engaging in sexual intercourse with his brother’s wife, cousin, and a sister of the President of Equatorial Guinea.

He is currently embroiled in the largest scandal in Equatorial Guinea.

During an investigation by the country’s security authorities for alleged fraud, over 300 tapes of Baltasar with various women, including married women, were recovered, and they are currently circulating online.

These encounters took place in his office, hotels, and toilets, with all scenes being recorded with the participants’ consent.

He was initially arrested on corruption charges, but during the investigation, authorities discovered the tapes on his computer and leaked them to the public.

Popular social critic Martins Ortse, also known as VeryDarkMan, disclosed videos of this via his Instagram page.

Source: Ahora EG
 
Ndiyo maana inashauriwa kabla hujaanza mambo yenu, vyema kuzima ama kuweka silent simu zenu kisha kuziweka mbali.

Niliwahi kudate mtu mmoja wa Usalama, kabla hatujaanza mambo yetu alikuwa anakagua sehemu zote za Chumba cha hotel yetu kuona kama Kuna vinasa sauti ama hidden cameras.

Mbona tendo linakuwa tamu vile vile pasipo kuchukuana picha Wala video.

Binafsi naona ni ushamba kurekodiana ya sirini
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono...
Manina yaani sisi tunapigazana kelele na watoto wa wajumbe wa nyumba 10 alaf kuna watu wanafika mpk ikulu
 
Manina yaani sisi tunapigazana kelele na watoto wa wajumbe wa nyumba 10 alaf kuna watu wanafika mpk ikulu
Na yeye pia ni wa huko huko ikulu anatokea familia ya rais. Kidampa baki unaweza kupata vipi hiyo access.
Dah kinachoniuma zaidi kampelekea moto hadi cousin wake tena with some gangsta shit playing in the background, a mobb deep's survival of the fittest. On some damn public office's desk, while standing and whispering into her ears some nasty shit probably some insults to that lady's husband. Damn this nigga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom