Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Ndiyo maana inashauriwa kabla hujaanza mambo yenu, vyema kuzima ama kuweka silent simu zenu kisha kuziweka mbali.

Niliwahi kudate mtu mmoja wa Usalama, kabla hatujaanza mambo yetu alikuwa anakagua sehemu zote za Chumba cha hotel yetu kuona kama Kuna vinasa sauti ama hidden cameras.

Mbona tendo linakuwa tamu vile vile pasipo kuchukuana picha Wala video.

Binafsi naona ni ushamba kurekodiana ya sirini
Vipi usalama wana mauno kama kawaida, alikua anaulilia kwa utamu?
 
Jamaa anaitwa Baltasar Ebang Engonga na anatomea Equatorial Guinea CEO wa National Financial Investigation Agency (ANIF).

Siku ya jana na leo tumekuwa tukiziona video zake ambazo sio nzuri sana ziki-circulates kwenye social media.

Inasemekana kwamba jamaa amekuwa akirekodi vitendo ambavyo hufanya kwenye faragha na wake za watu na wasichana wadogo ambao hawajafika umri wa kufanya hayo.

Vyombo vya Habari huko Equatorial Guinea vimeripot kwamba zaidi ya contents 300 za mkanda wa video zimekutwa kwenye computer yake vikimuonyesha akifanya vitendo hivyo na wanawake tofauti tofauti, wenye asili tofauti tofauti.

Cha kushangaza zaidi, katika moja ya video hizo, anadaiwa kuwa na mke wa head of presidential security wa Equatorial Guinea, nae alikuwa sehemu ya wahanga wa matukio haya.

Lakini pia Cousin yake pamoja na mke wa kaka yake ni moja ya wahanga wa matukio ya huyu bwana.

Huyu jamaa anatokea kwenye familia ya watu maarufu, ambapo baba yake pia ni rais wa CEMAC—Baltasar Engonga Edjoo!

CEMAC ni moja ya economic monetary community kubwa sana Katika ukanda wa Afrika ya kati.

Katika video, mwenyewe amekuwa akishiriki na wanawake hao, na haijafahamika kama alitumia nguvu kuwafanya wakubaliane na vitendo hivyo.
IMG_4184.jpeg
 
Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kitaifa wa Uchunguzi wa Kifedha wa Equatorial Guinea (ANIF), kwa sasa yuko katikati ya kashfa kubwa baada ya mamlaka kugundua mamia ya video za uchi zinazodaiwa kumuonyesha katika mazingira ya kutatanisha.
20241104_171706.jpg


Video hizo zinaripotiwa kujumuisha kukutana na watu mashuhuri, kama vile mke wa kaka yake, binamu yake, na dadake Rais wa Equatorial Guinea.

Kashfa hiyo iliibuka wakati wa uchunguzi wa ulaghai, ambapo wachunguzi walipata zaidi ya video 300 kwenye kompyuta ya Ebang Engonga, zikionyesha kukutana na wanawake wengi, wakiwemo walioolewa.

Kanda hizo, zilizogunduliwa katika ofisi yake binafsi, inasemekana kurekodiwa kwa ridhaa na tangu wakati huo zimevuja mtandaoni, na kusababisha kelele kwenye vyombo vya habari.

Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Nguema, alizungumzia kashfa hiyo katika taarifa yake kwa umma iliyochapishwa kwenye X (zamani ya Twitter), ambapo alilaani mwenendo usiofaa ndani ya ofisi za serikali.

Alisisitiza kuwa uhusiano wa kimapenzi ni marufuku kabisa katika maeneo ya kazi ya utawala na alionya juu ya athari za ukiukwaji.

"Kutokana na unyanyasaji ambao umeonyeshwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Equatorial Guinea katika siku za hivi karibuni, na kukumbuka kuwa wizara ni za kipekee za kufanya kazi za kiutawala katika kuunga mkono maendeleo ya nchi, mahusiano ya kingono maofisini yamepigwa marufuku," Nguema alisema. "Tayari mbinu za udhibiti zipo, na yeyote atakayekiuka sheria hii tena atachukuliwa hatua za kinidhamu kwa mwenendo mchafu na atafukuzwa kazi."

Baltasar Ebang Engonga ni nani?

Baltasar Ebang Engonga ni Mkurugenzi Mkuu wa ANIF, Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha la Equatorial Guinea.

Jukumu lake ni pamoja na kusimamia uchunguzi wa fedha na kusimamia shughuli zinazolenga kukabiliana na ufisadi wa kifedha nchini humo.

Akiwa ameoa na watoto sita, Ebang Engonga alishikilia wadhifa mashuhuri katika shirika hilo, ambalo lina ushawishi mkubwa juu ya uwazi wa kifedha wa taifa na mfumo wa udhibiti.
20241104_164425.jpg
 
Mfanyabiashara maarufu kijana mtanashati huko Guinea kazua taharuki baada ya video zaidi ya 400 kuvuja akifanya mapenzi na wake wa mawaziri, Mtoto wa IGP, Mke kiongozi wa kiroho, mke wa body guard wake, Mke wa mjomba ake, mke wa mdogo wake na wengine wengi zaidi ya marafiki 50 wa dada ake yeye anakujumu la kuwalomba wake za watu tu. Video siwezi kuweka hapa..
A Businessman in Equatorial Guinea has been involved in a scandal involving over 400 sextapes.

The women in the tapes include wives of many dignitaries. They had unprotected relations.

The Attorney General said he will be tested to see if he has any STD.

Source: Ahora EG.
 

Attachments

  • Gallery_1730731683380.jpg
    Gallery_1730731683380.jpg
    180 KB · Views: 9
Screenshot_20241104-175322.png

Video ziko zaidi ya 200, jamaa anawapelekea moto, wake hadi wa mawaziri, makamu wa raisi hebu imagine msururu woote huo daah huyu mwamba ni hatari, unajisifu mke wako sijui yuko wizara gani, hapo watoto wanajipigia tu (jokes)....
Huyu mwamba kachukua tuzo 2024 ni mfano wa kuigwa kwenye jamii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom