Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Hasa wenye hela za kuiba serikalini na kupora watu esp wasiojulikana
 
Ni ngumu kuamini huyu jamaa alikua anafanya sex ritual,maana si kawaida ulale na wanawake 400 urekodi..vipi wale aliokua anawala off camera? Mhh kweli pesa si kila kitu maana hadi wanawake wa vibosile wamepelekewa moto.
 
Hio inaongea wazi kwamba money will always give you women but manners will give you a wife.

Wanawake wengi wa kiafrika wanaolewa ili kutimiza malengo yao ila si upendo wa kweli. Ni ngumu kumrubuni mwanamke ambaye ana upendo wa kweli na mumewe na anajiheshimu.
 
Ni Watu wajinga wasioeleea Saikolojia ya Wanawake.

Kama unavyojiona wewe Mwanaume ulivyo na TAMAA na Wanawake ndivyo hivyohivyo na Wanawake walivyo
 
Hio $10,000 hapa bongo nani ambaye hatachanua mapaja🤣? Anzia kwa Niffer mpaka Socialites wengine wengi pamoja na bongo movies 😂!

Who can turn down 29M offer just for casual sex?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…