Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Africa hasa Tanzania mambo mengi ya kipumbavu ndio yanapata headlines....Mambo ya msingi yanaonekana hayana maana halafu mwisho wa siku watu tunakuja kuilamu serikali.
 
Hapa ndipo ule usemi wa bora ukose mali, upate akili unapokuwa na mashiko sasa. Mtu na akili zako timu unajirekodi wakati wa kufanya hilo tendo, ili iweje sasa!
Ili ukiondoka arudie kuingaria na aendelee kuyahesabu mmefika wNgapi ndo furaha yake au rafiki yake asimbishie km flani hajamla
 
Hahahaja haya mambo yapo mkuu
 
Umemaliza 100%βœ“
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…