Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Mwamba clip zote hakuna za under age. Hakuna aliyelazimishwa.
Hakuna za kishoga!
Nadhani tatizo ni lile rungu lake! NDIYO! Waliochapwa walikuwa wanasimulia wenzao!
Katika nchi ya watu 1.8M nadhani kuna upungufu wa marungu!
Nataka kuamini kuwa hao wanawake 400 ni walioonekana kwenye clip!
Pengine kuna wengi walitaka rungu lakini off-record!

Mwamba mgongaji Baltazar Engonga,
Dunia itamshangaa lakini apewe tuzo!
The MVP himself!
Taifa lina watu 1,800,000?
Mwamba kapiga 400?
Mbona anakaribia kula taifa zima?
 
Wewe mpumbavu, ngono kwenye ofisi za umma na useme sio kosa, hata TZ Sheria za utumishi wa umma zimekataza mahusiano ya kimapenzi kwenye ofisi za umma
Matatizo ya nyumbani kwako usiyalete public hapa tunajaduli hoja iliyoletwa mezani . Ueewa wako ni sifuri. Soma mleta hoja anazungumzia nini kabla hujakurupuka.

Hatuzungumzii makosa ya kinidhamu hapa , makosa ya kinidhamu kama yapo yana taratibu zake za kuyashughukia na mimi sijapinga hilo.
 
Sijazitazama hizo video na wala sizitafuti BUT nimesoma story ya huyu bazazi na hao wanawake aliowala. Sikubaliani na mleta uzi kwamba eti mwanamke anapenda mwanaume mwenye cheo au na mwanaume mwenye pesa; kwa muktadha wa tukio hili, wanawake almost wote aliowala waume zao wana status kubwa kuliko yeye, and I assume hata pesa wanazo nyingi kuliko jamaa. Kapiga mke wa IGP wa kule, amekula mke wa AG wa kule, amekula mkuu wa walinzi wa rais (kwa hapa kwetu we could say, kamla mke wa mkurugenzi wa TISS) amekula wake wa mawaziri wengi tu, kapita na dada wa Rais; hao wote wanatoka kwenye familia bora bro, huwezi kusema walifata pesa zake, na usikute hakuna kati yao hata 1 aliyepewa pesa za huduma; labda yule mke wa mjomba wake, cousin wake labda hao ndio hatujui status za waume/baba zao BUT again, huyu jamaa inasemekana ni mtoto wa Rais mstaafu wa nchi yake so again I'm assuming hata hao ndugu zake aliowala nao ni familia bora, mboga saba mezani always. Anyway, mtazamo wangu. Kuna kitu zaidi ya pesa na umaarufu pale, either jamaa zao hawapigi machine vizuri or zile matrix za dunia zimehusika
 
Wewe ni mkomavu, mambo umeyaeleza kwa akili.

Na hilo la mwisho sijui maiti kufanyaje, mi nimeshuhudia huo mkasa.

Tumeweka kambi njiani kupumzika ili kesho tuendelee na msafara wa kusindikiza maiti tukielekea kwao kuzika, jamaa likamchukua mfiwa, yaani mke wa marehemu na kufanikiwa kwenda kumlala, huku maiti ya mume ikiwa ndani ya gari!

Hilo lilinifikirisha sana namna ya kuziweka kwenye uzani akili za mjane wa marehemu, kwamba alikuwa na utulivu gani wa akili kupelekea kuridhia kitendo hicho, au alikuwa na chuki na marehemu mumewe, sikupata jibu.

Hili la Baltasar naona ni cha mtoto, bila kufanya mambo ya kiGwajima asingelijulikana kudadeki.
Huyo baharia hana huruma kabisa yani
 
Huyu jamaa kwa idadi hiyo ni sawa na kusema hiyo ndiyo ilikuwa kazi yake tu. Tena anawarekodi. Huo muda aliutoa wapi ? Na kazi alifanya saa ngapi ?
Kwani kumchukua mkeo na kumpeleka hotelini kuanzia mida ya lunch mpaka saa 12 kuna ugumu gani. CEO wa serikalini hafanyi kazi masaa 8 kumbuka hilo.

Yeye baada ya Lunch anaweza akaondoka mpaka kesho tena. Sasa kuna ubaya gani akiondoka na kondoo mmoja ili akamnyooshe kwa masaa 3 yaliobakia?😂
 
Kama baltasar kawala sababu ana pesa nyingi, embu explain hiki maana amekula mke wa mwanasheria mkuu, sijui dada ake raisi, na wake za viongozi wakubwa serikalini, unataka kuniambia hao wanawake wanaume zao hawakua pesa? Labda na dada zangu mu- Explain this Sappire To yeye Makiwendo Kelsea Ms R Numbisa Madame B
Wanaume zao wanajifanya washua wanakula mzigo kishua sasa mwamba anapiga zile za kibaharia ndiyo wanapagawa kwani pigo hizo hawazipati kwa waume zao,hapo wamefuata utaalamu wa Baltazar na siyo pesa, mikito nayo ni mtaji.
 
Hao wanawake waliikuwa wanajua jamaa ni kiwembe na kawaida ya wanawake wanapenda watu wa aina hiyo, na ukiangalia umbile lake alivyo walikuwa wanampapatikia na hawakuoneana wivu wao kwa wao

Jamaa hawezi kujiua ajiue kwa nini. Na mahakamani atashinda tu serikali inachoweza kufanya ni kumfukuza kazi tu.
Atafirwa sana gerezani, na kisha Atauwawa.
 
Hahaha anakuambia tumechelewa maana sauti zilikuwa hazipangiki
Hamna program imeendeshwa muda mrefu maana kiongozi alichelewa kufika. 🤣 Na siku mwanamke aliyetoka kupigwa mashine akifika home anakuwaga busy huyo atakupikia chakula kizuri ajabu na kukupa care za hatari ili ukifika ule muda akuwahi kusema amechoka atakupa asubuhi.

Au baada ya kula anatangulia yeye kulala na kujifanya kichwa kinamuuma sana leo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom