Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
LE MUTUZ how au mimi ndo sijaelewa !
 
Duh, jamaa ame trend sana sio mchezo.

Ila nje ya mada hiyo page ya marehemu Lemutuz maokoto huwa yanafika hata kwa ndugu zake kweli au ndio kufa kufaana?
 
mtombangile original huyo
 
 
Huyu jamaa ni mercenary
 
Ule msemo na maelezo ya yule 'Shekhe' sasa yanaanza kutimia kua Wanawake hawana tofauti na mifugo yaan mbuzi kondoo nguruwe ng'ombe punda ngamia na wanyama wengine wafugwao na Mwanaume
 
Uyo jamaa kuna nafasi alikuwa anataka serikalini ama alikuwa na mipango ya kupata pesa kutoka kwa wake wa viongozi lakini ninacho jiuliza amewezaje kuchukuwa izo video zote alikuwa anafanya nao ama alikuwa anategaje izo camera na kupata izo video
VIdeos nyingi anaonekana akitegesha camera ya cm na wahusika anaofanya nao ata was was wa kurekodiwa hawana
 
Wakati wao wanafanya ufisadi wa Pesa za Umma.

Jamaa akaawamua kufanya ufisadi wa wake zao.
Ngoma droo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…