π Never ever, Forever and for always (in shania twain's voice) kufanya mapenzi na mdada anaemfahamu mkeo.
π Tofauti na beki tatu wake, usitembee na mke wa mtu mashuhuri sana.
π Block mademu wote wasikupigie simu ovyo ovyo. Watafute endapo wewe ndio utakuwa na uhitaji nao.
π Usitembee na mdada aliepo ndani ya circle yako either ya eneo unaloishi au unapofanyia biashara/kazi.
π Ukishamjua ni mke wa mtu kimbia, kama haujajua fanya uchunguzi ujue.
π Mapicha na Mavideo ya nini? Kwani wewe ni pornstar?
π Usimthaminishe mchepuko au kahaba kulingana na vilivyo muhimu maishani mwako maana utajisahau and all will be gone.
π Kipimo cha ukimwi pekee ndio kisiwe uhalali wa kufanya sex kavu kavu kila mara
π Usifanye wivu utapomuona demu wako yupo na jamaa mwingine. Wivu wako unapelekea kufanya maamuzi ya ugomvi na madhara kwa sababu tu ya mlupo.
π Uwezo wako wa kuwa na mademu wengi Usikufanye ukawa arrogant kwamba yoyote yule utapita nae bila kuchukua risk.