Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Kwani huko maofisini wanabakwa au wanajipeleka wenyewe? Hao ni watu wazima na wana uhuru kamili wa kuamua wafanye nini na miili yao. Tena nahisi kwetu hapa huko maofisini ndiyo kumeoza zaidi kuliko hata Equatorial Guinea japo huyu mwamba katisha. Pisi zingine alizotafuna ni kali kweli kweli!

IMG-20241107-WA0007.jpg
 
Ya nini waanikwe wakati ni makubaliano ya watu wazima kabisa?
Kwa makazini/ofisini na vyuoni hakuna makubaliano bali kwa asilimia kubwa ni shinikizo 1. Cheo 2. Safari 3. Nafasi nzuri 4. Uhamisho 5. Uhakika wa Kufaulu Chuoni. Na hii ya chuoni imewagharimu mabinti wengi wazuri ambao walikuwa na misimamo. Na wa makazini tumeshuhudia wenye sifa na uwezo wakiwekwa pembeni na wasiokuwa na sifa wakipewa nafasi sababu ya papuchi.

Hivyo kuna mapenzi na kuna shinikizo na kama ukijidai wa msimamo ujue UTAKWAMA TU
 
Having sex with 400 women at different times is not so fun,how about those three some,four some,fun and fake of those video is Baltazary's eyes being focusing on same side,nippling and sexing lower classic women(that's shame for video editors),Justice for Baltazary and all 400 women involved is edited videos1
 
Attachments

  • Screenshot_20241107-190046.jpg
    Screenshot_20241107-190046.jpg
    111.8 KB · Views: 1
Matukio Kazaa ambayo yanatokea siku hizi kuhusu wanawake
Hakika yananipa hofu ya kuishi na mke wangu
Yananifanya niamini kila mwanamke sio mwaminifu hakuna kitu ninachoogopa katika maisha yangu kama ku share kile kindizi
Kwa matukio haya nimeanza kupata picha kwanini Mungu alisema tuishi nao kwa akili
Na ubaya hawa wenzetu wakianza tabia hiyo utajua
Jeuri inapanda anakuwa anakuona kama mtoto wake tu inawezekana mke wangu utakuwa naniona kama last born wake na mimi sijui
 
Baltazar ametutoa kimasomaso waafrika anafaa ajengewe sanamu, mwamba amemfunika mpaka puff daddy OG.

Wanawake 400 amepitanao tena na uthibitisho juu sio kama lile puff dady lofa.
 
Attachments

  • IMG-20241104-WA0019.jpg
    IMG-20241104-WA0019.jpg
    13.4 KB · Views: 1
Bro huyo jamaa alikuwa ni mtu wa kupambana na Rushwa, na ktk nchi zetu za kiafrika Wanaopambana na rushwa ndio wala rushwa wakubwa, yawezekana ktk list ya wake za vigogo aliotembea nao "YAWEZEKANA" mabwana zao walikuwa na kesi zinazohusiana na upelelezi wa huyo bwana hivyo wake zao wakawa hiyari kutoa rushwa ya ngono ili kulinda vibarua vya waume zao.
Japo jamaa amewatembezea rungu na wanawake walimpenda lakini kwa kazi yake, status yake, na pesa alizonazo ni rahisi ku-sex na zaidi ya ke 400... Halafu kwa idadi hiyo mbona mi naona ni kama ndogo maana jamaa alichokosea ni kuweka kumbukumbu ya ufuska wake.
 
Matukio Kazaa ambayo yanatokea siku hizi kuhusu wanawake
Hakika yananipa hofu ya kuishi na mke wangu
Yananifanya niamini kila mwanamke sio mwaminifu hakuna kitu ninachoogopa katika maisha yangu kama ku share kile kindizi
Kwa matukio haya nimeanza kupata picha kwanini Mungu alisema tuishi nao kwa akili
Na ubaya hawa wenzetu wakianza tabia hiyo utajua
Jeuri inapanda anakuwa anakuona kama mtoto wake tu inawezekana mke wangu utakuwa naniona kama last born wake na mimi sijui
MAPENZINI; wakati mwingine wanawake huwa wa ajabu sana, utakuta msela hunyandua demu wake pisi kali, basi nao hutaka kuonja mnyanduo anaonyanduliwa mwenzao kwa huyo msela kwa dhana kwamba hata wao wana utamu kama mwenzao. utakuta wanamuacha jamaa asiye na demu wanamuendea msela mnyanduaji wakanyanduliwe wote bila kuoneana wivu
 
Sema ulikua una doubt uhusiano wako na mkeo siku nyingi tu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom