Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Afu kwenye hii habari Kuna taarifa pia sio sahihi zinasambazwa.Si ndo hao hao aliowala sasa kama hauhusiki kwann ujiue hao waliotaka kujiua ndo hao aliowala ni kama asilimia 90 ya wanawake kwenye hizo video
Ila wamemkita na video 400.
Ila sasa sijajua ni wanawake 400 Kila mmoja na video Yake au vipi.