Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Nimeona mwamba anatrend kuwalala wanawake zaidi ya 400 ikiwemo wake za watu.
Binafsi nashangaa wanaoshangaa taarifa hizi kwa unafiki wao.
Iko hivi ikiwa hawajabakwa hao wake za watu hawajakubali kujiuza kama walivyojiuza hao wengine?
Ikiwa walikubali kwa hilarious wabebe musalaba who wenyewe. Mke wa mtu ukivua pichu huku ukifahamu nafasi yako lawama zote kwako. Umeongozwa na Tamara zako za fedha na zawadi kama wanawake mlio wengi mnavyo shobokea fedha na vitu.
Kwa wanaume 3/10 tunakuwa Walpole kisa hatuna he fedha. Je tungekuwa na fedha za kuhonga tungekuwa Walpole? Tuache unafiki
Wengine walikua wanaenda ofisini kwake wakiwa wameshavua Pichu kabisa! Walikua wapo ready kabisa
 
Kisa cha kigogo wa serikali ya Guinea ya Ikweta, Baltasar kuhusishwa na matukio ya kufanya ngono na zaidi ya wanawake 400 huku wengi wakiwa ni wake za wakuu wa utawala katika nchi hiyo na kisha kujirekodi video kimeistua dunia na habari zake kusambaa hapa Tanzania. Mbali na kuanikwa vibaya pia mamlaka za nchi yake zimeahidi kumfukuza kazi yeye na wote waliohusika.

Kiujumla ni kisa cha ajabu, kusikitisha, kuchefua na kuhuzunisha. Lakini kwa upande wa pili ni kisa kilichojaa uonevu mkubwa dhidi ya mhusika mkuu (Baltasar) na wahusika waliotendewa (wanawake).

Kosa la Baltasar ni lipi hasa?

Kosa ni kutembea na wake za watu au wake za watu kutembea na huyo jamaa? (Kidini na kimaadili sio sawa), je kisheria ni kosa?

Kosa ni kujirekodi akifanya ngono? Kimaadili sio sawa, je kisheria ni kosa?

Uhuru wa faragha wa wahusika umelindwaje? Nani mwenye mamlaka ya kuingilia uhuru wa faragha wa mtu mwingine?

Starehe na uhuni wao wa sirini unatuhusu nini sisi?

Kwanini video na picha za matukio ya wahusika zisambazwe mitandaoni mara baada ya mhusika kupekuliwa, kukamatwa na kutajwa hadharani?

Amefanya hayo matukio kwa kipindi kirefu bila kujulikana, amemiliki hizo video kwa muda mrefu bila kusambazwa, kwanini apekuliwe na kukamatwa halafu zisambazwe? Nani anazisambaza na lengo lake ni nini?

ANGALIZO
Sio sawa hata kidogo kujirekodi au kutazama video za ngono, na sio sawa kutembea na wake za watu au kufanya ngono ovyo ovyo.
 
Au mi ndiyo sijaelewa!?
 

Attachments

  • Screenshot_20241105-213802_1.jpg
    Screenshot_20241105-213802_1.jpg
    332.9 KB · Views: 7
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom