Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
💝 Kuna uhakika zaidi ya asilimia 90 wa kufanya mapenzi na mwanamke wa rika, umri, uwezo na marital status yoyote endapo utakuwa na fedha nyingi au cheo kikubwa.

💝 Women also cheat.

💝 Ndoa sio institution tena, ndoa imekuwa status.

💝 Hakuna kitu more powerful kuzidi pesa zaidi ya ngono.

💝 Kama kawaida anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake.

💝 Wanaume wana watoto nje ya ndoa, Mwanamke ana watoto wa nje ya ndoa ndani ya ndoa.

💝 Moja ya vitu hatari duniani ni fantasies za mwanaume mwenye pesa na imagination za mwanamke mwenye tamaa na njaa.

💝 Mwanaume ni sex machine inayotembea. Anaweza akamla mtoto wa mfiwa siku ya matanga kwenye chumba alicholaziwa marehemu.
Hiyo ya mwisho Nina ushuhuda🤣
 
Kuna jitu litaj3nga mwaka huu
IMG-20241105-WA0365.jpg
 
Nashangaa watu wakimsema huyu mwamba vibaya.
Wale wote wanawake ni watu wakubwa kiumri, vyeo na kifedha.

Kwamba huyu mwanaume anaonekana shetani,
halafu wale wanawake 400 ni malaika!

#Justice for Baltasar Ebang Engonga.
Nani amesema hivi?
 
Nashangaa watu wakimsema huyu mwamba vibaya.
Wale wote wanawake ni watu wakubwa kiumri, vyeo na kifedha.

Kwamba huyu mwanaume anaonekana shetani,
halafu wale wanawake 400 ni malaika!

#Justice for Baltasar Ebang Engonga.
Kama tunaamini yote yanayosemwa, ni kwamba huyo bwana kamchiti mkewe.

Kwa hiyo ni mtu mbaya sana. Na mkewe anastahili huruma.

Fair enough.

Lakini hayo matendo huhusisha pande zaidi ya moja.

Kwa mujibu wa maelezo yaliyoletwa, ni kwamba jamaa alikuwa anafanya matendo yake na wanawake ambao ni wake za watu [baadhi yao, labda].

Kwa msingi huo, hao wake za watu wamewachiti waume zao, siyo?

Sasa, kama kuchepuka kwenye ndoa ni jambo baya sana na jamaa anastahili kulaaniwa kwa kumchiti mkewe…

Vipi hao wanawake waliochiti naye ambao nao walikuwa wanawachiti waume zao?

Wao hawastahili kulaaniwa?

Things that make you go hmm 🤔……
 
Kwani WANATAKA nini bro?

View: https://youtu.be/KunMK_6G56o?si=NJmsqZHtTGakFhPS
 
Binafsi na msifu sana. Hawa wasipo anikwa hivi ufuska hauta isha, ningeshauri kila mwanaume awarekodi ili ambao hawajafanya hivyo waogope au waache kabisa.

Hii inaweza kusaidia kupunguza maambukizi ya VVU, na hata magonjwa ya zinaa huko mbeleni ikiwa kitondo hicho kitawaogofya.

Hakuna aliye bakwa, na hakuna mtoto mdogo kati ya wanawake wote, tatizo nini/video?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom