Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kapita nae bila shaka.Unamaanisha hadi mrs prezidaaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapita nae bila shaka.Unamaanisha hadi mrs prezidaaa?
Huwenda ameshampakabisa mkuu,we unadhani esma plat anashindwa kumpa kipochi almasi???
I appreciateWell said.
Inabidi wajunzi mnipe darasa 😂Wewe ni Amateur tu kwenye game
Mm bado mshamba wa wanawake na mapenzi 😭Mbona wachache hivyo
Wanawake 400 sio namba kubwa bhn
Me nashangaa Watanganyika wengi wanamwanda mshikajiidadi ya kawaida kabisa kwa maana ya wanawake 100 kwa mwaka ni miaka 4
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kitaifa la uchunguzi wa Fedha wa Equatorial Guinea, Baltasar Engonga, amekamatwa.
Bw. Baltasar alikamatwa kwa madai ya kurekodi video chafu zaidi ya 400, akiwa na wake za watu mashuhuri nchini humo.
Kashfa hiyo iliibuka wakati wa uchunguzi tofauti kuhusu madai ya ulaghai dhidi ya mzee huyo wa miaka 54, wakati mamlaka ilipofichua daftari la CD zilizokuwa na maandishi machafu wakati wa upekuzi nyumbani kwake na ofisini.
Miongoni mwa watu waliohusishwa na rekodi hizo ni wenzi wa viongozi wa ngazi za juu, akiwemo mke wa Mkurugenzi Mkuu wa Polisi, wanafamilia wa karibu na ndugu wa viongozi wakuu serikalini, akiwemo dadake Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo na wenzi wa Mawaziri.
Rekodi hizo ziliripotiwa kuwa za maafikiano lakini zimevuja mtandaoni, na kusababisha ghadhabu kubwa ya umma na uchunguzi mkali kutoka kwa vyombo vya habari vya ndani.
#KitengeUpdates
Nawapigia wamuachie fasta Mwamba.kosa lake li wapi
wenye kosa walio pekua nyumba yake na kompyuta yake wakavujisha
yeye alirekodi kuona kwa matumizi yake, walio kosa uadirifu wakavujisha
Ungetoa neno mzee,hivi umeona anavyozipuliza mkuu?mzee huyo wa miaka 54,
Daily unachapa mwaka mzima si utabaki FUVU tu?Idadi ya kawaida mfano anachakata mmoja kila siku jumla yake 365 Kwa mwaka x Miaka 4 = 1460.
Huyu njemba inawezekana kachakata zaidi ya hapo kama aliwamudu wawili Kwa siku hata kwa viagra…
Mwenye kosa ni aliye vujisha hizo video. Lakini consensual sex, hana makosa Kama hawakubakwa…