"Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Ehhh wakuu,

Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja.

Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba,

Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe mbwe madoido kukokota mpira wala kusimama nao eti uangalie unaupiga wapi kama alivyokuwa anafanya kibabage zamani.

Hii inapunguza upotevu wa muda inaongeza umakini na ufanisi pia inakuwa rahisi kuuhamisha mpira kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine kwa muda mfupi

TUKABE WOTE
Ktk ukabaji kila mchezaji anajukumu la kukaba kazi ya ukabaji sio ya viungo wala mabeki ni ya watu wote

Uwanja unaugawa ktk vipande vinne kipande cha kwanza mbele anakosimama Dube, kipande cha pili mbavu za kulia na kushoto yaani Mzize, pacome na Aziz ki

Sehemu ya tatu ni Aucho na Mudathir

Sehem ya nne bacca job, kibwana na Boca

Sasa kipa wa timu pinzani akianzisha mpira kwa kumpasia beki, Dube ataenda kuukaba akiukosa zone ya pili akina pacome mzize na aziz ki watauparamia kuukaba wakiupata watapasiana haraka haraka kwa kugusa na kuachia twende kwao wanakuweka chuma

Kama mpira ukiwapita basi zone ya tatu akina Aucho na Mudathir wataukaba wakiupata wanapasiana kwa gusa achia twende kwao unawekwa chuma

Kama ukiwapita huo mpira basi utakutana na afande BACA na myama Job bila kumsahau kibwana au kibabage

Hii inamfanya mpinzani asimiliki mpira pia anakosa utulivu na kujikuta anafanya makosa

Timu inayopaki bus yafunguliwa
Ukipaki bus kwa hii falsafa utajikuta unafanya makosa na kufungwa mengi maana wao wanakaba kwa mkakati wakienda kukaba wanakuzingira pande zote pia mtu wa karibu anasogelewa ukimpa pasi wanakunyakua boli ukiwapita wanakuangushq.

Pasi mbili twende kwao
Ukimtizama kibwana bacca au job akipewa mpira na kipa Utaina dube aziz ki mzize wanajipanga vyema kisha pasi ndefu inapigwa linafanyika shambulizi la moha kwa moja (counter attack)

Ni mwendo wa kutengeneza nafasibnyingi na magoli yanapatikana

MAPINDUZI YALIANZA BAADA YA UJIO WA GAMOND
Baada ya ujio wa Gamond na mbinu yake ya kutumia viungo wengi au washambuliaji wengi kulingana na mpinzani, timu za mikoani nazo zikaanza kusajili washambuliaji na viungo wa kimataifa zikaachana na mpira wa kupaki bus na kukuacha uzishambulie nazo zinashambulia kama kawaida nadhani msimu huu na uliopita mmeona utofauti

Timu kama mashujaa mwanzo mwa msimu wa 2023 walikuwa wanapaki bus bila kushambulia ila baadae wakabadilika, si mnaziona timu za sasa za mikoani mfano TABORA UNITED kila mtu anaijua.

MAPINDUZI YA PILI YANALETWA NA SEAD RAMOVIC
Hii gusa achia twende kwao siku sio nyingi mtaanza kuiona ikifanywa na timu ndogo ndogo

Timu kama SINGIDA wanafungwa na Simba sababu kila mchezaji akipata mpira analazimisha kuukokota au kukaa nao mwisho wa siku anapokonywa si mliona lakini timu inakabia kwa macho.

Sasa hizi timu kama JKT, KMC, FOUNTAIN GATE, MASHUJAA, azam nazo zikiboresha mbinu kwa kuongezea gusa achia twende kwao, tukabe wote patachimbika msimu huu

Wadau wa soka kaeni tayari mapibduzi yanakuja bingwa anaweza kuwa timu yeyote msimu huu na ubyonge hautakuwepo kuanzia january

Nawasilisha
 
IMG_20241230_193926_542.jpg
 
Nimejikita kusoma hiki kitabu.
Kuamini kuwa watu wengine ni vichaa hiyo ni dalili moja wapo ya ukichaa kitaalam tunaita delusion of grandeaur and persecution yaani unakua unajiona una akili kuliko wengine kumbe chenga yaani hiyo false bekief ndio characteristics ya kwanza ya schizotypical disiorder

Kwa vile sasa unajisomea kitabu maana yake unafit kwenye bipolar

kwa taarifa yako michezo ni njia ya kuimarisha afya ya akili

Siku nyingine ukiona nyuzi zangu uwe na adabu
 
Unadhani kakulenga kwamba una matatizo ya akili!?😂. Huenda kaamaanisha sasa hivi Hana muda wa kufatilia Mpira yupo bize na kusoma mambo ya afya.
 
Pasi mbili twende kwao
Ukimtizama kibwana bacca au job akipewa mpira na kipa Utaina dube aziz ki mzize wanajipanga vyema kisha pasi ndefu inapigwa linafanyika shambulizi la moha kwa moja (counter attack)
Kama haujui tu maana ya counter attack, unategemea vipi tuchukulie gazeti lako hilo serious?
 
Ehhh wakuu,

Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja.

Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba,

Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe mbwe madoido kukokota mpira wala kusimama nao eti uangalie unaupiga wapi kama alivyokuwa anafanya kibabage zamani.

Hii inapunguza upotevu wa muda inaongeza umakini na ufanisi pia inakuwa rahisi kuuhamisha mpira kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine kwa muda mfupi

TUKABE WOTE
Ktk ukabaji kila mchezaji anajukumu la kukaba kazi ya ukabaji sio ya viungo wala mabeki ni ya watu wote

Uwanja unaugawa ktk vipande vinne kipande cha kwanza mbele anakosimama Dube, kipande cha pili mbavu za kulia na kushoto yaani Mzize, pacome na Aziz ki

Sehemu ya tatu ni Aucho na Mudathir

Sehem ya nne bacca job, kibwana na Boca

Sasa kipa wa timu pinzani akianzisha mpira kwa kumpasia beki, Dube ataenda kuukaba akiukosa zone ya pili akina pacome mzize na aziz ki watauparamia kuukaba wakiupata watapasiana haraka haraka kwa kugusa na kuachia twende kwao wanakuweka chuma

Kama mpira ukiwapita basi zone ya tatu akina Aucho na Mudathir wataukaba wakiupata wanapasiana kwa gusa achia twende kwao unawekwa chuma

Kama ukiwapita huo mpira basi utakutana na afande BACA na myama Job bila kumsahau kibwana au kibabage

Hii inamfanya mpinzani asimiliki mpira pia anakosa utulivu na kujikuta anafanya makosa

Timu inayopaki bus yafunguliwa
Ukipaki bus kwa hii falsafa utajikuta unafanya makosa na kufungwa mengi maana wao wanakaba kwa mkakati wakienda kukaba wanakuzingira pande zote pia mtu wa karibu anasogelewa ukimpa pasi wanakunyakua boli ukiwapita wanakuangushq.

Pasi mbili twende kwao
Ukimtizama kibwana bacca au job akipewa mpira na kipa Utaina dube aziz ki mzize wanajipanga vyema kisha pasi ndefu inapigwa linafanyika shambulizi la moha kwa moja (counter attack)

Ni mwendo wa kutengeneza nafasibnyingi na magoli yanapatikana

MAPINDUZI YALIANZA BAADA YA UJIO WA GAMOND
Baada ya ujio wa Gamond na mbinu yake ya kutumia viungo wengi au washambuliaji wengi kulingana na mpinzani, timu za mikoani nazo zikaanza kusajili washambuliaji na viungo wa kimataifa zikaachana na mpira wa kupaki bus na kukuacha uzishambulie nazo zinashambulia kama kawaida nadhani msimu huu na uliopita mmeona utofauti

Timu kama mashujaa mwanzo mwa msimu wa 2023 walikuwa wanapaki bus bila kushambulia ila baadae wakabadilika, si mnaziona timu za sasa za mikoani mfano TABORA UNITED kila mtu anaijua.

MAPINDUZI YA PILI YANALETWA NA SEAD RAMOVIC
Hii gusa achia twende kwao siku sio nyingi mtaanza kuiona ikifanywa na timu ndogo ndogo

Timu kama SINGIDA wanafungwa na Simba sababu kila mchezaji akipata mpira analazimisha kuukokota au kukaa nao mwisho wa siku anapokonywa si mliona lakini timu inakabia kwa macho.

Sasa hizi timu kama JKT, KMC, FOUNTAIN GATE, MASHUJAA, azam nazo zikiboresha mbinu kwa kuongezea gusa achia twende kwao, tukabe wote patachimbika msimu huu

Wadau wa soka kaeni tayari mapibduzi yanakuja bingwa anaweza kuwa timu yeyote msimu huu na ubyonge hautakuwepo kuanzia january

Nawasilisha
Waambie hao.
 
Hayawi hayawi pointi zimedondoka

Fountain gate hawakuwa wanyonge kama Tabora

Walikuwa wanakabia mbele wanagusa na kuachia
 
Azam yadondosha point tatumbele ya pamba jiji
 
Singida kapigwa na kmc
Yanga kasare na JKT

Mapinduzi
 
Back
Top Bottom