Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kama kichwa cha habari kisemavyo
Nina changamoto kubwa sana kuhusu namna bora ya ku transmute sexual energy..
We all know how this energy can lead to doing greater things.. So badala ya ku indulge kwenye tendo lenyewe la sex kila muda nataka kutumia katika creativity ila sasa nikiwa in the zone na loose focus maana ile energy inakuwa chini on the lower chakras..
Naomba wadau wenye wanajua how to channel that energy.. Wanipe mwongozo..
Kuna ile wanasema sijui ukimbie, sijui upige tizi... Hizo zote zinafanya hiyo energy iende kwenye physical activity sio creative ability..
Nataka niweze kuitoa moja kwa moja kutoka chini kwenda juu..
Nitashukuru sana nikipata mwongozo kamili..
Nawasilisha.
Mshana Jr Pascal Mayalla dosho12 min -me sawima