sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,792
- 9,017
Sawa sawa mkuu, so ni active visualization
I'll try it mkuu, Nashukuru kwa mwongozo
Kila la kheri mkuu.
Sawa sawa mkuu, so ni active visualization
I'll try it mkuu, Nashukuru kwa mwongozo
😀Basi kama kuwa online ndo Kukesha mitandaoni basi unakosea sana
Basi kama unakosa muda wa kuingia humu isiwe kigezo cha kuambia mtu akeshe au asikeshe hununulii mtu simu ama bando humu
Sasa ile ni opinion ama ushauri uchwara?
AI inakusaidia: Mabadiliko ya kijinsia nimchakato wa kimakusudi wa kuelekeza na kubadilisha hamu au nguvu ya ngono ya awali kuwa shughuli za ubunifu, zenye tija, na zenye matamanio kama vile biashara, sanaa, au ukuaji wa kibinafsi, badala ya kutafuta uhuru wa kimwili mara moja.Kama kichwa cha habari kisemavyo
Nina changamoto kubwa sana kuhusu namna bora ya ku transmute sexual energy..
We all know how this energy can lead to doing greater things.. So badala ya ku indulge kwenye tendo lenyewe la sex kila muda nataka kutumia katika creativity ila sasa nikiwa in the zone na loose focus maana ile energy inakuwa chini on the lower chakras..
Naomba wadau wenye wanajua how to channel that energy.. Wanipe mwongozo..
Kuna ile wanasema sijui ukimbie, sijui upige tizi... Hizo zote zinafanya hiyo energy iende kwenye physical activity sio creative ability..
Nataka niweze kuitoa moja kwa moja kutoka chini kwenda juu..
Nitashukuru sana nikipata mwongozo kamili..
Nawasilisha.
Mshana Jr Pascal Mayalla dosho12 min -me sawima
wanakuja kukujib alafu mwisho nipe jibu ulilokubaliKama hukuwa na jibu linalo eleweka ni kheri ungebaki kimya.
Kusoma kwangu vitabu haviendani na hoja na nongwa zako zisizo na mbele wala nyuma..
Ngoja watu wanajua undani wa haya mambo waje.