Kama hukuwa na jibu linalo eleweka ni kheri ungebaki kimya.acha kusoma mabitabu ya ovyo kuwa mtu wa kawaida tu, ukiga unabaki mifupa energy energy wimbo sasa mo energy
Inawezekana kuna kitu anataka asemeUsije ukawa unataka kujaribu ushoga jamani
Kazi ni kipimo cha utuKama kichwa cha habari kisemavyo
Nina changamoto kubwa sana kuhusu namna bora ya ku transmute sexual energy..
We all know how this energy can lead to doing greater things.. So badala ya ku indulge kwenye tendo lenyewe la sex kila muda nataka kutumia katika creativity ila sasa nikiwa in the zone na loose focus maana ile energy inakuwa chini on the lower chakras..
Naomba wadau wenye wanajua how to channel that energy.. Wanipe mwongozo..
Kuna ile wanasema sijui ukimbie, sijui upige tizi... Hizo zote zinafanya hiyo energy iende kwenye physical activity sio creative ability..
Nataka niweze kuitoa moja kwa moja kutoka chini kwenda juu..
Nitashukuru sana nikipata mwongozo kamili..
Nawasilisha.
Mshana Jr Pascal Mayalla dosho12 min -me sawima
Umejuaje kuwa ninashinda online?First
Acha kabisa kushinda online ....jipe mda wa kuwa mwenyewe
Second ukiweza la kwanza nitakupa secone option
Mhhh! Wewe..! Na Pascal Mayalla..umemtoa wapi kwenye hizi makitu?!!Kama kichwa cha habari kisemavyo
Nina changamoto kubwa sana kuhusu namna bora ya ku transmute sexual energy..
We all know how this energy can lead to doing greater things.. So badala ya ku indulge kwenye tendo lenyewe la sex kila muda nataka kutumia katika creativity ila sasa nikiwa in the zone na loose focus maana ile energy inakuwa chini on the lower chakras..
Naomba wadau wenye wanajua how to channel that energy.. Wanipe mwongozo..
Kuna ile wanasema sijui ukimbie, sijui upige tizi... Hizo zote zinafanya hiyo energy iende kwenye physical activity sio creative ability..
Nataka niweze kuitoa moja kwa moja kutoka chini kwenda juu..
Nitashukuru sana nikipata mwongozo kamili..
Nawasilisha.
Mshana Jr Pascal Mayalla dosho12 min -me sawima
Nashukuru mkuu🙏Wow Elevenn, huu ni mjadala mzuri sana na nakupongeza kwa kutaka kutumia nguvu hii yenye uwezo mkubwa kwa mambo ya ubunifu! Ni kweli kabisa, nishati ya ngono inaweza kuwa chanzo kikubwa cha creativity na mafanikio makubwa.
Kuhusu swali lako la kuielekeza nishati kutoka chini kwenda juu kwa ajili ya ubunifu, wazo hilo ni sahihi kabisa. Mara nyingi inahusisha mazoezi ya akili na utulivu wa ndani. Baadhi ya njia ambazo watu wamekuwa wakizitumia ni pamoja na:
1. Meditation na Visualization: Kufanya mazoezi ya kutafakari na kujaribu kuwaza ukielekeza nishati hiyo kwenda juu, kwenye akili yako au kwenye miradi yako ya ubunifu. Watu wengi huamini kuwa kwa kufanya hivi, unaweza kuielekeza nguvu hiyo kiakili.
2. Kuweka Malengo Mahsusi ya Ubunifu: Kujipa kazi au mradi wa ubunifu na kuweka umakini wako wote hapo. Wakati nishati hiyo inapoibuka, badala ya kuiacha ikuelekeze kwenye matendo mengine, jaribu kuielekeza kwenye kazi yako ya ubunifu uliyojiwekea.
3. Mindfulness na Self-Awareness: Kujitambua sana na kujua jinsi nishati hiyo inavyoanza kuibuka. Hii inakupa fursa ya kuchagua jinsi unavyotaka kuitumia badala ya kuiacha ikuchukue mkondo wake wa kawaida.
Ni safari ambayo inahitaji uvumilivu na kujifunza mwenyewe nini kinakufaa zaidi. Usikate tamaa! Endelea kutafuta na kujaribu mbinu mbalimbali. Nina imani utafanikiwa kuielekeza nguvu hiyo kwenye ubunifu wako na kufanya mambo makubwa!
---Jibu la JF AI