Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

Mhhh! Wewe..! Na Pascal Mayalla..umemtoa wapi kwenye hizi makitu?!!
Nilisha wahi kusoma uzi wake wa psychic powers hapo nyuma kidogo so nadhani anaweza kuwa na ujuzi wa haya maswala pia..
 
Sawa sawa mkuu nimekuelewa POV yako

Kwako wewe unaona hakuna njia wala process ya sexual transmutation bali ni kuacha mambo yatakayo I drain hiyo force na kuichannel kupitia kufanya mambo mengine positive kama kufocus na kwenye activities zitakazo kupa positive outcomes.

Hakika ni sahihi mkuu, ila wengi hii energy huwa ina stick on lower domains yaani unakuwa na fire chini ila kupeleka juu na Kuanza kuitumia ndo wanachelewa au tuseme wanakosa right strategies..

Nashukuru kwa mchango wako mkuu
 
Brother kila siku una nyuzi. Kila nikiingia upo online
Na huwa naingia humu mda wa mapumzik

I am not judging you. Just sharing my opinion
Basi kama kuwa online ndo Kukesha mitandaoni basi unakosea sana

Basi kama unakosa muda wa kuingia humu isiwe kigezo cha kuambia mtu akeshe au asikeshe hununulii mtu simu ama bando humu

Sasa ile ni opinion ama ushauri uchwara?
 
Ukiona kufanya greater things mpaka ufanye sexual transmutation basi una tatizo kubwa sana
Mkuu wewe ndo umekuja na hiyo perception... Nilisema kuwa ukiweza kufanya sexual transmutation unaweza kufanya greater things... Sio kuwa inategemea sexual transmutation tu..

Wewe unachotafuta ni validity ya mawazo yako uchwara. Unakuja na mihemko yako tu hapa

Kama hauna kitu cha kuchangia rudi kitandani ulale. Kesho uwahi kazini
 
Fanya kazi acha ushirikina
 

The Power of Terrazzo​


The Power of Terrazzo inaelezea dhana ya sexual energy retention—wazo kwamba nguvu inayohusishwa na tendo la ngono inaweza kudhibitiwa na kuelekezwa kwenye mambo mengine badala ya kuishia kwenye ejaculation.

Kwa mujibu wa dhana hii, mwanaume anaweza kufanya tendo la ngono, kufikia kiwango cha juu cha msisimko, lakini akajizuia kutoa manii. Waumini wa semen retention wanaamini kwamba kufanya hivyo mara kwa mara kunaweza kumsaidia mtu kuhisi kuwa na nguvu zaidi, umakini mkubwa, nidhamu na motisha ya kufanya shughuli nyingine.

Kwa mtazamo huu, suala si kuacha kufanya ngono kabisa, bali ni kujifunza kudhibiti ejaculation na msisimko wa kingono. Nishati inayodhaniwa kupotea wakati wa ejaculation inaaminika na baadhi ya watu kuwa inaweza “kuhifadhiwa” na kuelekezwa kwenye kazi, mazoezi, ubunifu, malengo binafsi na maendeleo ya maisha.

Hata hivyo, ni muhimu kutofautisha kati ya imani au philosophy ya sexual energy retention na kile ambacho science imethibitisha. Hakuna ushahidi thabiti kwamba manii yaliyohifadhiwa yanabadilishwa moja kwa moja kuwa aina nyingine ya nishati inayoongeza uwezo wa akili au mwili. Faida ambazo baadhi ya watu huripoti zinaweza pia kuhusishwa na nidhamu, kujidhibiti, matarajio binafsi na mabadiliko ya tabia.

Kwa hiyo, The Power of Terrazzo inaweza kueleweka zaidi kama philosophy inayosisitiza self-control, sexual discipline na kutumia nguvu ya msukumo wa kingono kama motivation ya kujenga maisha yako, kuliko kama kanuni iliyothibitishwa kisayansi.
 
Baadhi ya wadau wameshaeleza huko juu jinsi ya kufanya sexual transmutation suala la msingi hapo ni practice utafanikisha tu.
 
Sawa mkuu, ila hii ni description tuu na sio actual practice..

Nashukuru kwa mchango wako
 
Baadhi ya wadau wameshaeleza huko juu jinsi ya kufanya sexual transmutation suala la msingi hapo ni practice utafanikisha tu.
Mbona kama sikuelewa
Naomba kama ungenifafanulia zaidi labda..
Wao wanasema kuitunza tu hiyo energy which huwa nafanya ila kuweza kuichennel au kuwa na practice ya kufanya process ya channeling iwe haraka na effective kabla Sija itumia au kuitoa
 
Mbona kama sikuelewa
Naomba kama ungenifafanulia zaidi labda..
Wao wanasema kuitunza tu hiyo energy which huwa nafanya ila kuweza kuichennel au kuwa na practice ya kufanya process ya channeling iwe haraka na effective kabla Sija itumia au kuitoa

Wakati unapo feel sexual urge(energy) unaelekeza fikra yako kwenye hiyo energy huku uki-imagine hiyo energy inahama kutoka chini kwenda juu kisha una focus akili yako kwenye hicho kitu unachotaka kuachieve.
 
Wakati unapo feel sexual urge(energy) unaelekeza fikra yako kwenye hiyo energy huku uki-imagine hiyo energy inahama kutoka chini kwenda juu kisha una focus akili yako kwenye hicho kitu unachotaka kuachieve.
Sawa sawa mkuu, so ni active visualization

I'll try it mkuu, Nashukuru kwa mwongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…