Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

Basi kama kuwa online ndo Kukesha mitandaoni basi unakosea sana

Basi kama unakosa muda wa kuingia humu isiwe kigezo cha kuambia mtu akeshe au asikeshe hununulii mtu simu ama bando humu

Sasa ile ni opinion ama ushauri uchwara?
😀
 
Kuipata tu hiyo energy ni lazima uwe kwenye semen retention kwa kipindi cha kuanzia siku 30 na kuendelea, energy ikiji-accumulate then ndo unaanza kuidirect kwenye kitu ukitakacho. Ukitaka zaidi Napoleon Hill ameandika kwenye kitabu chake cha Think And Grow Rich. Mule amedadavua vizuri sana kuhusu sexual transmutation.

Cha kwanza kabisa ni uwe kwenye semen retention practice.
 
AI inakusaidia: Mabadiliko ya kijinsia nimchakato wa kimakusudi wa kuelekeza na kubadilisha hamu au nguvu ya ngono ya awali kuwa shughuli za ubunifu, zenye tija, na zenye matamanio kama vile biashara, sanaa, au ukuaji wa kibinafsi, badala ya kutafuta uhuru wa kimwili mara moja.
 
The art of Transmutation inaelezewa vizuri na "Hermetic Philosophy" hii inaelezea kwa ujumla jinsi mtu anavyoweza transmute kutoka kuwa mtu wa hali ya kawaida mpaka kuwa mtu mwenye hali ya juu.. basic state of Mind to Higher state of Mind. nimekuwekea baadhi ya vitabu hapa chini uvisome kwa umakini.
 

Attachments

Kama hukuwa na jibu linalo eleweka ni kheri ungebaki kimya.

Kusoma kwangu vitabu haviendani na hoja na nongwa zako zisizo na mbele wala nyuma..

Ngoja watu wanajua undani wa haya mambo waje.
wanakuja kukujib alafu mwisho nipe jibu ulilokubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…