Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
FL........wanawake wangapi waume zao wana kauli njema lakini malalamiko hayatoshi? ............
Kauli njema itasaidia lakini si hicho peke yake wanawake wote wanachotaka...................ukisikia hizo sifa mtu anazotaka mumewe awe nazo waweza jiuliza huyo mtu au malaika?
inanibidi nikubaliane na wengine kuwa wanawake hawafahamiki wanataka nini kama ilivyokuwa wanaume nao hawafahamiki.
Nazidi kukubali kwani analysis yako mara nyingi inanikuna! Hapa hakuna anayemfahamu fika mwenzake. Binafsi na-deal na situation badala ya kuanza kutumia theories na hadithi za mababu!
Hata hivyo nakumbuka sana kauli yako, "mwanaume anaye-supplicate kwa mwanamke hatakiwa hata siku moja"
mwisho wa siku kwenye mapenzi uombe bahati....
unaweza kuwa na tabia zote mbovu but still ukapata wa kukupenda
no matter what.....
na waweza kuwa uko full package na still hupendeki kihivyo.....
mapenzi ni kama kiatu vile...mwisho wa siku
unavaa kinachoku fiti,hata kama sio kizuri sana ..
kuwa cormfotable ndio kila kitu....
Kweli kabisa Boss, maisha mazuri ya ndoa ni bahati. Mara nyingi tunapoingia kwenye ndoa, kuna kiwango fulani cha kamari. Hata ujitahidi kiasi gani, ndoa ikitaka kugoma itagoma tu. Haya ya FL1 nadhani ni mambo yake binafsi. Amshukuru sana Mungu kama ndoa yake ina-fit hiyo model. Vingivevyo sioni kama kuna kitu uanweza ku-generalise kwenye mambo ya ndoa.