Uchaguzi 2020 Gwajima: Aliwatusi Kardinali Pengo, Waislamu, CCM, Makonda, leo yupo jukwaani

Uchaguzi 2020 Gwajima: Aliwatusi Kardinali Pengo, Waislamu, CCM, Makonda, leo yupo jukwaani

BENAI

Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
93
Reaction score
38
Ukistaajabu ya Musa.

Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?

Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo. Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School. Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.

Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?

Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!

Muda utasema, Inshallah!
 
Baada ya kujua ule usemi wa "Usitukane mamba kabla hujavuka mto" Yeye alipojiona tayari katukana akajitengenezea vazi zito sana na gumu sana la chuma ili asidhurike na huyo mamba aliyemtukana.

Sasa kilichotokea ni kweli yule mamba hawezi kumla lakini na yeye haokoleki kutokana na lile vazi linavyozidi kumzamisha mtoni!
 
Aisee [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
 
Baada ya kujua ule usemi wa "Usitukane mamba kabla hujavuka mto" Yeye alipojiona tayari katukana akajitengenezea vazi zito sana na gumu sana la chuma ili asidhurike na huyo mamba aliyemtukana.

Sasa kilichotokea ni kweli yule mamba hawezi kumla lakini na yeye haokoleki kutokana na lile vazi linavyozidi kumzamisha mtoni!
FASIHI ULIYOITUMIA HAPA NI YA KIWANGO MZEE BABA........BIG UP
 
Baada ya kujua ule usemi wa "Usitukane mamba kabla hujavuka mto" Yeye alipojiona tayari katukana akajitengenezea vazi zito sana na gumu sana la chuma ili asidhurike na huyo mamba aliyemtukana.

Sasa kilichotokea ni kweli yule mamba hawezi kumla lakini na yeye haokoleki kutokana na lile vazi linavyozidi kumzamisha mtoni!

Tunatakiwa tumuamkie mamba kwa; "SHIKAMOO MKUU MAMBA" kabla ya kuvuka mto!!?? 🤓
 
Mbona mnaongea as if matokeo tayari,kwanza naomba kujua huko Kawe anapambana na kina nani ambao ni maarufu
 
Kumbukeni ni mkolomije...

Anything can happen. Tuwe na akiba ya maneno.
 
Wala usiwe na wasiwasi.
Ni kwwli wakatoliki na watanzania wanajua kuwa Gwajima alimtukana matusi mazito sana Askof Pengo.
Pia hiv karibuni aliitwa polisi kuhojiwa kwa kurusha clip za kuchochea ukabila na kuwashauri wasukuma kuunda group la kusaidiana wasukuma kwa wasukuma.
Hii nayo ni mbaya sana kwa kiongozi anayetakiwa kuwakilisha Jimbo zima ambalo lina makabila mbalimbali.
Sasa inabidi asimame hadharani na kuomba msamah kwani kama amelenga kwenda bungeni kutetea usukuma na sio wana kawe tutajuaje nia yake?
Ni kiongozi ambaye amehojiwa kwa tuhuma za ukabila sasa kawe kuna wasukuma tupu? Au kanda ya ziwa tup? Gwajima aombe msamaha haraka la sivyo wana kawe hawakuelewi.
Ukistaajabu ya Musa.

Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?

Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo.
Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School.
Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.

Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?

Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!

Muda utasema, Inshallah!
 
Video yake ya mauno kule xvideo na xnxx inakimbiza balaa, nitawashangaa sana wakazi wa Kawe kama watakubali kuwakilishwa na huyu mcheza picha za ngono.
Mara ya kwanza alikuwa anacheza picha za ngono na waumini wake, amenogewa, anataka akacheze na wakazi wa Kawe. Tapeli wa wajinga anataka akatapeli na wenye akili.
 
BENAI, Kanisa la mizimu halilipi tena.. Huyo ndio anaondoka ivyo
Ina maana hakuna kufufua tena kwa mtindo ule wa Lazaro?
Hamna misukule kuitoa darini tena? Ila jamani Mzee wa mkono wa Baunsa ni genius hasa! Maana ameweza kuwavuta maelfu kwa maelfu ya watu wa kawaida hadi wanasiasa hadi alipoharibu kwa kumpiga Uno kondoo wa zizi lake.
Alimwaminisha sana Slaa hadi wanaomwamini Slaa wakamwamini na yeye.
Sasa hivi akawa anapata mpaka mwaliko jengo jeupe la Ferry na anapewa nafasi ya "kuliombea" taifa!
Mzee wa Uno ni genius kweli!
 
Back
Top Bottom