Winning Team
Member
- Jul 12, 2018
- 89
- 89
Waambie Chadema waliokutuma hivi, Jimbo linaondoka mikononi mwao asubuhi na mapema: watafute mbinu nyingine kumdhoofisha Gwajima.Ukistaajabu ya Musa.
Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?
Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo.
Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School.
Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.
Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?
Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!
Muda utasema, Inshallah!
Lazima mkumbuke 2015 wakati mlipokua na sapoti yake, sasa hivi ndo mnaona hayo? Hamuwezi kuwa timamu haki ya nani.