Uchaguzi 2020 Gwajima: Aliwatusi Kardinali Pengo, Waislamu, CCM, Makonda, leo yupo jukwaani

Nimhubiri duni kuliko wote nilowahi kuwaona,hutumia madhabahu kuwasema kuwatusi na kuchafua watu ili apate umaarufu. Alimchafua hata kikwete na nimtu muongo mwenyevinyongo vyakishetani. Huombea watu mabaya na kulaani watu vilevile ni mbaguzi wa wazi wa kikabila (nimkabila)!! Nimuongo na kigeugeu alishasema hawezi kutaka urais,uwaziri wala ubunge!! Huwa hajihusishi kusaidia maskini anajirundikia mamali kwa kutumia dini kwa faida yake.
HAFAI HAFAI HAFAI ninaamini sana DSM has a kawe sio wajinga wakamchagua bora angeenda kijijini kwao huko usukumani.
 
Video yake ya mauno kule xvideo na xnxx inakimbiza balaa, nitawashangaa sana wakazi wa Kawe kama watakubali kuwakilishwa na huyu mcheza picha za ngono.
Kwani hii video itaoneshwa kwa Wajumbe siku ya mkutano mkuu wa Jimbo?
 
Ina maana hakuna kufufua tena kwa mtindo ule wa Lazaro?
Hamna misukule kuitoa darini tena? Ila jamani Mzee wa mkono wa Baunsa ni genius hasa! Maana ameweza kuwavuta maelfu kwa maelfu ya watu wa kawaida hadi wanasiasa hadi alipoharibu kwa kumpiga Uno kondoo wa zizi lake.
Alimwaminisha sana Slaa hadi wanaomwamini Slaa wakamwamini na yeye.
Sasa hivi akawa anapata mpaka mwaliko jengo jeupe la Ferry na anapewa nafasi ya "kuliombea" taifa!
Mzee wa Uno ni genius kweli!
Sio bure kaka wanafanya featuring na uchawi
 
Sehemu kubwa ya shughuli za kisiasa ni utapeli, ulaghai,uongo......

Sasa huyo unayemsema amekidhi hivyo vigezo vyote tofauti ni kuwa tu alikuwa kwenye sekta nyingine...ni sawa na kumzuia mlevi asiingie baa ya mbege kisa tu alikuwa anakunywa whisky na bia..mlevi ni mlevi tu.

Hata Nabii Tito ana hivyo vigezo.
 
Ukistaajabu ya Musa.

Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?

Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo.
Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School.
Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.

Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?

Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!

Muda utasema, Inshallah!
Weka ka attachment tujikumbushe
 
Video yake ya mauno kule xvideo na xnxx inakimbiza balaa, nitawashangaa sana wakazi wa Kawe kama watakubali kuwakilishwa na huyu mcheza picha za ngono.
Atakwambia mbona hata yule Mchezaji wenu Mkongwe wa timu pendwa alikuwa na yake...na bado yupo uwanjani anakitifua juzi katia mbili kambani....yaliyopita si ndwele bana.
 
Ukistaajabu ya Musa.

Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?

Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo.
Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School.
Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.

Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?

Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!

Muda utasema, Inshallah!
Dawa yake ni kumpiga chini
 
Itoshe kusema nimechukua fomu (katika sauti ya Gwajima)
 
Ukistaajabu ya Musa.

Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?

Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo.
Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School.
Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.

Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?

Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!

Muda utasema, Inshallah!
Form ya CCM inalipiwa na yeye kachangia CCM itoshe kusema kachangia CCM hawezi kupenya kwenye mchujo kwani CCM wanajua Gwajima hawezi mziki wa Halima mdee
 
Umesahau kuwa alichangisha bilioni 1 kwa waumini wake ili kujenga mji mpya kule kibaha pwani ambao angeuita mji wa mwana kondoo. Mwaka 6 sasa haijulikani fedha zilienda wapi kwani hata kanisa tu hajawahi kujenga.

Biblia imesema tuwakatae manabii wa uongo na kuwatambua kwa matunda yao.
 
Halima mdee analo file lake lote wanasubiria CCM wampitishe kivumbi kianze asikie madhambi yake yote na ndipo atajuuta kuipenda siasa.
 
Back
Top Bottom