mbona mnataabika sana? Hii ni nchi huru fanya unachokitaka, kila anachokisema kiko relevant na muda anaousema wa kukemewa anakemewa, wakuonywa anaonywa, wa kupongezwa anapongezwa. Ni mchungaji asienyamaza anasimamia haki. Mbona alimwambia nabii tito ukweli na akamuombea ila akaamua kurudi. Acheni Mungu amuhukumu na sio nyie maana yeye ni binadamu kama sisi. Ukionewa unakaa kimya??? Hapana, you attack. Mmekaa kumsema vibaya kama vile hana jema alilofanya. Mmekaa kama vibaraka.
Time will tell until punguzeni kupepeta hio midomo eboo