Uchaguzi 2020 Gwajima: Aliwatusi Kardinali Pengo, Waislamu, CCM, Makonda, leo yupo jukwaani

Uchaguzi 2020 Gwajima: Aliwatusi Kardinali Pengo, Waislamu, CCM, Makonda, leo yupo jukwaani

Kwenye siasa ndipo wengi hutambua kuwa Duniani hakuna siri kwani vya siri huvikuta vipo wazi
 
sadaka zimekata hali ngumu!! siasa hazina mwenyewe! anaweza kupita kiajabu.
 
Kuna ajabu gani yeye kugeuka!?
Mlikuwa mkimshabikia sana na kuungana nae. Leo kageuka kawa adui. Nanyi mmemgeuka. Hamumuungi tena mkono. Kisa... Kakataa kuendelea kuwa nyumbu.
Kama mlivyogeuka. Nae kageuka
MBONA kila nyumbu anayekuja upande wa pili anakuwa Tembo? Yawezekana hawa nyumbu ni bora kuliko hata falu John
 
Umekuja na ID mpya kumshambulia Askofu? Najua hata wewe ni mgombea Kawe
 
Ukistaajabu ya Musa.

Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?

Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo.
Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School.
Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.

Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?

Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!

Muda utasema, Inshallah!
Kutokana na ugumu wa maisha iliyopelekea ukata Ile biashara ya awali hailipi ni muhimu kuchagua biashara mpya
 
Ukistaajabu ya Musa.

Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?

Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo.
Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School.
Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.

Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?

Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!

Muda utasema, Inshallah!
Ni haki yake kikatiba,sema ataweza tumikia mabwana wawili yaani Mungu na shatan at the same time?
 
Ukistaajabu ya Musa.

Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?

Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo.
Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School.
Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.

Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?

Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!

Muda utasema, Inshallah!
Kwahiyo ulitaka asiwaseme?? Hata wewe ukiingia kwenye 18 zake anakugonga nyundo za kutosha alafu acha kujiita mkazi wa kawe wakati unaishi mpanda vijijini
 
Baada ya kujua ule usemi wa "Usitukane mamba kabla hujavuka mto" Yeye alipojiona tayari katukana akajitengenezea vazi zito sana na gumu sana la chuma ili asidhurike na huyo mamba aliyemtukana.

Sasa kilichotokea ni kweli yule mamba hawezi kumla lakini na yeye haokoleki kutokana na lile vazi linavyozidi kumzamisha mtoni!
Yeye ndo mamba mwenyewe sasa
 
Yaani mwaka huu kazi mno ,na ukiona mtu anaongea negative kuhusu wewe ujue anakukubali sana ..maana leo mmempaisha Gwajima kinomanoma kazi mnayo
 
Umesahau kuwa alichangisha bilioni 1 kwa waumini wake ili kujenga mji mpya kule kibaha pwani ambao angeuita mji wa mwana kondoo. Mwaka 6 sasa haijulikani fedha zilienda wapi kwani hata kanisa tu hajawahi kujenga.

Biblia imesema tuwakatae manabii wa uongo na kuwatambua kwa matunda yao.
Wewe ndio ulikuwa mtunza fedha wake nini? Maana unaisema bilioni utadhani unaufahamu ina rangi gani
 
Back
Top Bottom