Aisee [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]Baada ya kujua ule usemi wa "Usitukane mamba kabla hujavuka mto" Yeye alipojiona tayari katukana akajitengenezea vazi zito sana na gumu sana la chuma ili asidhurike na huyo mamba aliyemtukana.
Sasa kilichotokea ni kweli yule mamba hawezi kumla lakini na yeye haokoleki kutokana na lile vazi linavyozidi kumzamisha mtoni!
FASIHI ULIYOITUMIA HAPA NI YA KIWANGO MZEE BABA........BIG UPBaada ya kujua ule usemi wa "Usitukane mamba kabla hujavuka mto" Yeye alipojiona tayari katukana akajitengenezea vazi zito sana na gumu sana la chuma ili asidhurike na huyo mamba aliyemtukana.
Sasa kilichotokea ni kweli yule mamba hawezi kumla lakini na yeye haokoleki kutokana na lile vazi linavyozidi kumzamisha mtoni!
Baada ya kujua ule usemi wa "Usitukane mamba kabla hujavuka mto" Yeye alipojiona tayari katukana akajitengenezea vazi zito sana na gumu sana la chuma ili asidhurike na huyo mamba aliyemtukana.
Sasa kilichotokea ni kweli yule mamba hawezi kumla lakini na yeye haokoleki kutokana na lile vazi linavyozidi kumzamisha mtoni!
Kibwetere kama wale vibwetere wengine "...kuwa lofa ni ufala" nukuu toka kwa mchungaji mzee wa bwaksi!!!BENAI, Kanisa la mizimu halilipi tena.. Huyo ndio anaondoka ivyo
Wafadhili hawatoi hela baada ya kujua hali halisi unategemea nini? Jiulize zile mbwembwe za kununua ndege zimeishia wapi?BENAI, Kanisa la mizimu halilipi tena.. Huyo ndio anaondoka ivyo
Ukistaajabu ya Musa.
Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?
Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo.
Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School.
Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru.
Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge kwake ni kujishusha'! Loh, leo anaingia ktk 18 zetu wakaazi wa Kawe?
Katika yote hakuwa pahala aliomba msamaha!
Muda utasema, Inshallah!
Mara ya kwanza alikuwa anacheza picha za ngono na waumini wake, amenogewa, anataka akacheze na wakazi wa Kawe. Tapeli wa wajinga anataka akatapeli na wenye akili.Video yake ya mauno kule xvideo na xnxx inakimbiza balaa, nitawashangaa sana wakazi wa Kawe kama watakubali kuwakilishwa na huyu mcheza picha za ngono.
Ina maana hakuna kufufua tena kwa mtindo ule wa Lazaro?BENAI, Kanisa la mizimu halilipi tena.. Huyo ndio anaondoka ivyo