Uchaguzi 2020 Gwajima: Aliwatusi Kardinali Pengo, Waislamu, CCM, Makonda, leo yupo jukwaani

Kwenye siasa ndipo wengi hutambua kuwa Duniani hakuna siri kwani vya siri huvikuta vipo wazi
 
sadaka zimekata hali ngumu!! siasa hazina mwenyewe! anaweza kupita kiajabu.
 
Ameshaokota za kutosha kwa kigezo cha kufufua, sasa ni siasa
 
Kuna ajabu gani yeye kugeuka!?
Mlikuwa mkimshabikia sana na kuungana nae. Leo kageuka kawa adui. Nanyi mmemgeuka. Hamumuungi tena mkono. Kisa... Kakataa kuendelea kuwa nyumbu.
Kama mlivyogeuka. Nae kageuka
MBONA kila nyumbu anayekuja upande wa pili anakuwa Tembo? Yawezekana hawa nyumbu ni bora kuliko hata falu John
 
Umekuja na ID mpya kumshambulia Askofu? Najua hata wewe ni mgombea Kawe
 
Kutokana na ugumu wa maisha iliyopelekea ukata Ile biashara ya awali hailipi ni muhimu kuchagua biashara mpya
 
Ni haki yake kikatiba,sema ataweza tumikia mabwana wawili yaani Mungu na shatan at the same time?
 
Kwahiyo ulitaka asiwaseme?? Hata wewe ukiingia kwenye 18 zake anakugonga nyundo za kutosha alafu acha kujiita mkazi wa kawe wakati unaishi mpanda vijijini
 
Yeye ndo mamba mwenyewe sasa
 
Yaani mwaka huu kazi mno ,na ukiona mtu anaongea negative kuhusu wewe ujue anakukubali sana ..maana leo mmempaisha Gwajima kinomanoma kazi mnayo
 
Wewe ndio ulikuwa mtunza fedha wake nini? Maana unaisema bilioni utadhani unaufahamu ina rangi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…