Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Mimi nilitegemea mchungaji kama hata amekosewa angesamehe tu lakini wapi, inasikitisha sana mchungaji kuwa na visasi, kumbe Yale maandiko ya MUNGU yanaelekea kutimia " kuwa mwisho wa dunia watatokea wachungaji wengi uchwara" kama akina Gwajima. Hivi hata hao waumini wake kweli wanaakili nzuri kweli au amewapumbaza. Bibilia inasema kabisa kuwa " msamehe aliyekukosea mara elfu wa sabini". Sasa huyu Gwajima anatumia bibilia gani?
 
Ni kesi iliyoamriwa na jaji J. Gwajima katika mahakama kuu ya Mchungaji Gwajima kanda ya Kanisani
Ha ha ha haaa,kama kesi ya Makonda kuwatuhumu na kuwachunguza na kuwashtaki watuhumiwa wa unga, Gwajima ametoa so many facts, anayetuhumiwa atoke akanushe kwa facts, na si vinginevyo ametaja wanafunzi alosoma nao Makonda tangu primary hadi Nyegezi
 
Bishop Gwajima Shikilia Hapo Hapo Moto Huo Huo Hadi Magamba Uapate Mote Yaanze Kuanguka. Hawezi Kuchezea Kila Mtu Kirahisi Namna Alivyofanya.


Baba Askofu Kama Una Kanisa South Nenda Kahubiri Kule Kule Asikie
Namna Alivyokuumiza Wakati Wa Ngada Ndiyo Naye Bashite Anavypumia Sasa
 
Hii CD ishachuja.. Now tupo Dom...
Kama unategemea hii cd kuchuja utasubilia sana!! Mwambie tu alete vyeti tayari inakuwa imekufa natural death ila bila cheti ni ngumuu!! Hujasikia maisha anayoishi huko alikokimbilia hadi yanatia huruma!!! Mwanauma hakimbii matatizo bwana, unakabikiana nayo tu
 
Mange sawa lakini sio mchungaji mkuu. Mchungaji anapaswa aongoze katika kila jambo. Sasa kila siku ya ibada unamhubiri Bashite kanisani? Utashindwa kujitofautisha na wengine. Besides aliyofanya Makonda ni makosa kama mengine mbele ya mchungaji
Mkuu,kwan maubiri ni nini? Sini kumkataa shetani na mambo yake yote??BASHITE ana tofauti gani na SHETANI?maovu aliowatendea wenzake akiwemo Gwajima si ushetani huo?

Au mnazani shetani ni kiumbe kama mbuzi,shetani ni mtu atendae maovu.
 
Gwajima hatanyamaza hadi Makonda awajibishwe. Upuuzi ni kumtaka Gwajima akae kimya wakati Makonda hajachukuliwa hatua.
 
Leteni vyeti mbona wengine wenye vyeti fake wameondolewa na kuitwa watumishi hewa. Bashite naye ni mtumishi hewa aachie Ofisi ya Watanzania kama wengine walivyo fanywa na mtukufu
Mie ningeona hoja yenu ina mashiko kama mungeleta hivyo mlivyo navyo kisha yeye ndo mumwambie kuwa kama anavyotofauti na mlivyonavyo mgeweza kum "sue" . Maana kama ishu iko obvious kwanini hao wanasheria wenu wasomi wasiweke pingamizi juu yake badala yake wanakuwa wanaruka ruka kila muda kama dagaa mchele kwenye kikaango.
 
Je kuuza

Je kuuza dawa za kulevya ,? Kuchukua mademu wa watu, kuongopa unafufua watu kumbe unapiga dili
Aah mie naona mashaka tu ndugu yangu,nazitamani zama za agano la kale maana ilikuwa ni sheria tu. Hii hadithi ya neema hii itapoteza wengi ukizingatia kisasi cha mwanakondoo. Mmh hapatatosha.
 
Una uthobitisho wa hayo au maneno ya Mchungaji shetani Gwajima!

Hamhukumu mtu mmoja tu mdhabahuni kwake ila anawahukumu na waumini wake
 
Sahihi kabisa mkuu. Hivi na hao waumini wake sijui wanajisikiaje. Hata kama hataki kusamehe basi anyamaze na kuwahubiria waumini mambo mengine. Arrogance inaleta upofu sana. Anafanya yaleyale tunayomlaumu nayo Makonda
 
Mkuu,kwan maubiri ni nini? Sini kumkataa shetani na mambo yake yote??BASHITE ana tofauti gani na SHETANI?maovu aliowatendea wenzake akiwemo Gwajima si ushetani huo?

Au mnazani shetani ni kiumbe kama mbuzi,shetani ni mtu atendae maovu.
hahahaha nimekusoma mkuu ila duh ni hatari.
 
Kwahio madhabahu ya kanisa la ufufuo na uzima yamegeuzwa kijiwe cha siasa????

Hatusikii neno la bwana ila Bashite...sasa Gwajima amekuwa mtafsiri sheria na kutoa hukumu...
Spot on.Yaani amelifanya kanisa sehemu ya mikutano ya siasa.Aliyesema tusichanganye dini na siasa alikuwa na akili sana.
 
Na baada ya kusema hayo ni kondoo wa bwana wangapi waliompokea yesu kwa injili hiyo mpya ya mtakatifu Gwajima? Maana hilo ndio jukumu lamsingi aliloitiwa,kama ameitwa kweli.



Kanisani siyo mahali pa kutafutia kondoo, ni mahali pa kulisha kondoo...!!
Gwajima kuongea na kondoo wake katika kile kinachomuumiza siyo dhambi...!!
Gwajima ni binadamu mwenye utashi kama binadamu wengine, anaumia kama binadamu wengine, ana hasira kama binadamu wengine...!!
Gwajima hana tofauti na Magufuli, wote ni baba wa watu...kama Magufuli alivyo na hasira zisizo isha kwa wale walioimba wana imani na mtu fulani, ndivyo Gwajima anaweza kuwa na hasira na wote wanaomchafua...!!






Tafakari...!!
 
Gwajima unanikosha sana, endelea kumchanachana mtoto wa kolomije pamoja na kuwa anabebwa na ukabila wa mtukufu haizuwii wewe kumwanika machafu yake mpaka atakapoonesha cheti cha form 4 kikiwa na jina lake hili la kiofisi. Heko Gwajima.
 
Hivi Cheti chake kuzaliwa alipata wapi? Cheti cha Ndoa anaitwa nani? Kadi za Harusi zilitoka kwa jina la familia gani ikiarifu kijana wetu anafunga ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…