Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri





Uko sahii kabisa kwani kuna wanaoitwa marais lakini hawana KIPAWA CHA URAIS KABISA...!!






Tafakari...!!
 
Yaani [HASHTAG]#daudalbertbashite[/HASHTAG] tunaye mpaka kieleweke tunamdondosha! Hiyo haina mjadala wala pooo
 
Na baada ya kusema hayo ni kondoo wa bwana wangapi waliompokea yesu kwa injili hiyo mpya ya mtakatifu Gwajima? Maana hilo ndio jukumu lamsingi aliloitiwa,kama ameitwa kweli.
Hahahaha
 
Mmh ! Ana hasira,hasira huishi vifuani mwa wapumbavu.Kuhusu hilo la madhabahuni naomba nisijibu.
 
Kwenye ile clip ya leo kasema yeye alishamaliza, lakini hapa katikati ya wiki amejitokeza mtu akachafua hali ya hewa ndio maana leo ameongea, na akichokozwa tena ataongea tena na tena hadi mhusika aombe msamaha
 
Mmh ! Ana hasira,hasira huishi vifuani mwa wapumbavu.Kuhusu hilo la madhabahuni naomba nisijibu.
Nilipokuwa darasa LA tano, nlikuwa nikichokozwa nahakikisha ugomvi hauishi. Hadi nilipize kisasi. ULikuwa ni utoto ulioendana na umri wangu
 
BASHITEISM v/s GWAJIMAISM. Bashte altumia mamlaka yake kama mkuu wa mkoa vibaya akamtuhum pasta bila ushahd, na pasta nae anatumia madhabau yake kumshambulia BASHTE, wote wanamakosa. ila bashte ndo alilianzsha ngoja alnywe
 
Kula
Kula like like like 10
 
Na baada ya kusema hayo ni kondoo wa bwana wangapi waliompokea yesu kwa injili hiyo mpya ya mtakatifu Gwajima? Maana hilo ndio jukumu lamsingi aliloitiwa,kama ameitwa kweli.
Nina mashaka kama ALIITWA kweli ama ALIJIITA.
Na kama aliitwa basi sauti hiyo ILIKWISHA NYAMAZA. Na kumwacha afuate NJIA zake mwenyewe.
 
Wewe hapa umejisema. Usipende kuwa HAKIMU wa Matendo ya watu wengine. Hicho kipaji kitumie kujikosoa. Just watch and Learn. Jifunze kimya kimya kutokana na yanayoendelea.
 
Mmh ! Ana hasira,hasira huishi vifuani mwa wapumbavu.Kuhusu hilo la madhabahuni naomba nisijibu.




Ndiyo, naweza kukubalina na wewe kwa sababu hata mimi siupendi upumbavu wa mzee wa kaya kwa kuhakikisha anawamaliza wote walio kinyume chake...!! Upumbavu nu upumbavu tu...uwe kwa mkuu wa mkoa, kwa rais, kwa mkuu wa wilaya, kwa mchungaji , kwa askofu, kwa profesa, kwa daktari...WOTE NI UPUMABVU TU, NA WENYE HASIRA ZISIZOISHA WOTE NI WAPUMBAVU TU BILA KUJALI NAFASI ZAO...!! TUACHE UNAFIKI...AKIFANYA GWAJIMA TUIITE UPUMBAVU, WAKIFANYA WALIOSEMA "NINGEWAPOTEZA WOTE" TUNASHANGILIA...!! WENYE HASIRA WOTE NI WAPUMBAVU KWA MUJIBU WA MAANDIKO...!!






Tafakari...!!
 
Wewe kinakuuma nini?Gwajima anatetea haki kuna watu wamefukuzwa kazi kwa vyeti haki,Makonda naye apewe haki yake
 
Right thing in a wrong place.
Kwann aongelee masuala ya siasa madhabahuni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…