Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Gwajima kaza uzi hapohapo usimpe pumzi mtoto wetu toka kabila letu pendwa. Kaza Gwajima kaza.
 
M nasbl nione mwisho wake!

Wasemane,walaluane, wachimbane mkwara hyo n yao. Wao n kma cinema na mm n mtazamaji. [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] waiting 90mnts gwajima vs bashite [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Tatizo ni kwamba, Daudi amechokoza watu wa aina yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe watu wanajaa kanisani kuxkiza MICHAMBO yake na c neno la mungu...
 
Uhamiaji alipeleka cheti cha nani au cha jina gani la kuzaliwa? Hajawahi kuzaliwa Paul Christian Makonda Tanzania! Hii nchi hakika Loopholes zilikuwepo!
 
Ajabu Magufuli amewaona kina Sofia Simba tu ndio wasaliti wakati ilikuwa upepo wa uchaguzi,mhuni kama Makonda kaachwa,huu ni udini, Paulo Vs Sofia& Ramadhani
Bashite ni untouchable, mteule aketiye kuume kwa mtakatifu!
 
Kwani Daudi si alitakiwa na yeye awe kwenye kanisa lolote Dar? Sasa anafanya deal gani huko South Africa, au kapeleka madawa ya kulevya? Isije ikawa kaenda na mzigo mtu kama Daudi kusachiwa na kushtukiwa siyo rahisi shauri status yake nafikiri ana passport ya diplomatic 🙂
 
Mtu akichanganua haki na batili, bdio anahubiri siasa?
 
Gwajima ni Taasisi. Ukiigusa umegusa wengi, umegusa imani za watu n

Daudi amekosea sana kufoji.

Tusiseme inatosha, wakati mkuu ameuchuna, wala hajaonyesha nia ya kumuwajibisha, hata kwa kumtumbua tu, kama alivyowafanyia wakina marehemu kabwe. Alipokua akizindua daraja.
Muosha uonshwa.

Tukikaa kimya, na mkulu atatukalia kimya vilevile. Bashite hatang'olewa pale.
Acha wapige kelele. Zitakoma pale atakapotumbuliwa hadharani.

Inaonyesha mkulu anatumia mtandao wake kama radio mbalimbali kama mawingu kumpaka rangi huyu kijana bashite.
 
Ajabu Magufuli amewaona kina Sofia Simba tu ndio wasaliti wakati ilikuwa upepo wa uchaguzi,mhuni kama Makonda kaachwa,huu ni udini, Paulo Vs Sofia& Ramadhani
Bashite hana issue kwenye CCM tena yeye alikuwa ndiyo anampiga vita Lowassa. Hana hatia kwenye mambo ya chama, yeye issue yake hii ya vyeti inatakiwa kushugulikiwa na serikali. Hivyo JPM alitakiwa amshugulikie kama rais na siyo mwenyekiti. Sheria zipo wazi kwa watu walioghushi vyeti.
 
Mimi wa kwanza, muislamu nimempokea Nabi Issa allayhi salatu wasalam
 
Wacha aendelee tu DAUDI alizidi kujifanya mjuaji
 
Kamrushia pepo likadunda, sasa ni bhita ni bhita mura lakini ya kimwili kiroho kachemsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…